yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
we huo utafiti ndio umeufanya hvi majuzi kumbe!
RABI USINIPE MAPENZI by Mr.Mushroom - HulkShareLove is unconditional!!!mtu hapendewi kitu sijui nifafanueje...ukimpenda mtu unampenda jinsi alivyo!!
vipi mkuu inaonekana jana ulikesha fiesta nini? umefika na kulala asubuhi ona sasa umekurupuka usingizini
Mambo aje wadau wa jukwaa hli mko poa aisee.....! basi kama ndo hivyo miamia.......
oy hebu tushirikishane hili.... hivi unajua mapenzi ni hisia...... sasa kama ndivyo tunathubutuje kuchezea hisia za watu mazee...unajua leo tunapea sure hapa bila kuvunga wala nini..! ukweli ndo huo binafsi sipend kuchezea hisia za mtu buree.. we kama ume fall in love thibitisha kwa matendo sio blabla nyiingi.. mfano utamkuta mkaka anampenda demu et kisa ana umbo, macho, nywele or kutembea kike... sasa we ulimpenda huyo manzi kweli or ulikuwa after something SIPENDI, hata nyie wadada kumpenda mtu kwa ajili ya mkwanja wake huko ni kupotezeana mda bure...
juzi nimesoma thread ya jamaa aliye kataliwa na manzi ake et kisa mkwanja hapa jukwaani niliumia sana, akanikumbusha na thread yaa jamaa huko nyumaa et wanawake wazuri wataishia kuwa mashemeji tuuu''''.....
Huu nao pia ni utafiti? au muendelezo??

mmmh.....!