Chombo cha Urusi chasifia ubora wa Makombora ya Marekani

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
4,170
Reaction score
9,502
Chombo cha habari toka Urusi kimesifia ufanisi wa Makombora ya kubomolea vifaru Aina ya TOW yaliyojumuishwa kwenye kifurushi cha msaada wa kijeshi kilichotangazwa wiki iliyopita.

Chombo hicho Avia kinasema kwamba Makombora ya TOW ni hatari kushinda Makombora ya Javellin na NLAW kwakua yanapiga umbali mrefu zaidi ya kilomita nne (4km) lakini pia yana mlipuko mkubwa zaidi kushinda Javellin. Makombora hayo ndiyo yametumika kuharibu vifaru vya Urusi vilivyopelekwa Syria Aina ya T-54,T-62M,T-72 na hata T-90 kilieleza chombo hicho.

Russian media: The US TOW missile transferred to Ukraine is much more dangerous than Javelin - Military Cognizance
 
Hadi leo Urusi kasalia Syria,hayo makombora yamesaidia Nini?
 
Je silaha za Urusi zina ule ufanisi unaotangazwa na viongozi wao?! Sikiliza hapa

Kumbuka hii operation nyuma ya Ukraine kuna over 30 countries(NATO) wanampa support Ukraine. Bado wanachapwa.

Pili lengo la Russia sio kuikalia Ukraine yote kana wengi wanavyofikiria. Ni kuhakikisha majimbo yaliyojitenga yanakuwa salama na nchi kamili. Hili amefanikiwa 100%.

Kilichojitokeza ni Ukraine kuendelea kutma makombora kwenda kwenye vinchi hivyo. Hivyo Urusi imeendelea kuwasukuma mbali zaidi ili kupunguza mashambulizi. Ikiwa ni pamoja na kukata supplies kupitia bahari ili UkrIne akubali peace accord na jirani zake.

Kama lengo lingekjwa kuiangusha Ukraine wangeingia Kiev where the centre of power is.
 
Hii ni kulingana na nani mana kila siku mnabadilisha malengo huko ukraine.

Mara denazification, mara change of rigime sasa hvi ni kuhakikisha majimbo yanayojiyenga yanakuwa salama.
 
... vita la mchongo lisilo na kichwa wala miguu!
 
Kumbuka hii operation nyuma ya Ukraine kuna over 30 countries(NATO) wanampa support Ukraine. Bado wanachapwa.

Pili lengo la Russia sio kuikalia Ukraine yote kana wengi wanavyofikiria. Ni kuhakikisha majimbo yaliyojitenga yanakuwa salama na nchi kamili. Hili amefanikiwa 100%.

Kilichojitokeza ni Ukraine kuendelea kutma makombora kwenda kwenye vinchi hivyo. Hivyo Urusi imeendelea kuwasukuma mbali zaidi ili kupunguza mashambulizi. Ikiwa ni pamoja na kukata supplies kupitia bahari ili UkrIne akubali peace accord na jirani zake.

Kama lengo lingekjwa kuiangusha Ukraine wangeingia Kiev where the centre of power is.
Wewe ndio mjinga humu ni hakuna mfano. Kipindi Russia ilipoivamia Ukraine ilienda Kiev kutafuta nini kabla ya kutimua mbio na kuja mashariki mwa Ukraine.
 
Kumbuka hii operation nyuma ya Ukraine kuna over 30 countries(NATO) wanampa support Ukraine. Bado wanachapwa.

Pili lengo la Russia sio kuikalia Ukraine yote kana wengi wanavyofikiria. Ni kuhakikisha majimbo yaliyojitenga yanakuwa salama na nchi kamili. Hili amefanikiwa 100%.

Kilichojitokeza ni Ukraine kuendelea kutma makombora kwenda kwenye vinchi hivyo. Hivyo Urusi imeendelea kuwasukuma mbali zaidi ili kupunguza mashambulizi. Ikiwa ni pamoja na kukata supplies kupitia bahari ili UkrIne akubali peace accord na jirani zake.

Kama lengo lingekjwa kuiangusha Ukraine wangeingia Kiev where the centre of power is.
Kwa hiyo put in kabadilisha gear angani? Operation 3days imekuwa Sasa operation majimbo
 
Putin mara nyingi alikua anafanya mazoezi na washirika zake akidhani mazoezi ni vita kamili alidai ataichukua Ukraine siku tatu leo hii anasifia siraha za NATO naamini Putin hii vita imemshinda ila anaona aibu jinsi ya kuacha kwa kuwa aliingia kwa mbwembwe sana mara wapo Kiev sijui mji gani sasa nimeona jana wakisheherekea Uhuru wao na vifaru walivyoteka ingawaje na wao wamepata hasara kubwa sana ..
 
hii inaitwaga 'mind game' yaani Adui mtie ujinga, na ujinga ukisha mjaa kichwani na kujiamini mshugulikie barabara !
 
Putin mara nyingi alikua anafanya mazoezi na washirika zake akidhani mazoezi ni vita kamili alidai ataichukua Ukraine siku tatu leo hii anasifia siraha za NATO naamini Putin hii vita imemshinda ila anaona aibu jinsi ya kuacha kwa kuwa aliingia kwa mbwembwe sana mara wapo Kiev sijui mji gani sasa nimeona jana wakisheherekea Uhuru wao na vifaru walivyoteka ingawaje na wao wamepata hasara kubwa sana ..
Tupe link ya hayo mazungumzo
 
Back
Top Bottom