Kuna dada mmoja alikuwa na rafiki yake ambaye alikuwa muathirika
Sasa, kuna kaka alimpenda sana yule rafiki naye alimpenda sana yule kaka. Yule dada aliogopa kamwambia yule kaka kwamba rafiki yake ana UKIMWI. LAKINI yule rafiki alikuwa anatamani kamwambia kuwa ni muathirika ili kumuepusha na majanga.
Swali: je, wote wawili watumie njia gani kufikisha ujumbe kwa yule kaka na wasiharibu urafiki wao?