"Umenishangaza Sana na kiwango cha utendaji kazi wako Leo, umeweza kufanya kazi kila sehemu bila hata usimamizi, wewe ni kijana mzuri , laptop yangu imepata tatizo kidogo.. Unaweza kuja chumbani kwangu.. Unirekebishie?? "
Nilisoma ile sms kisha nikacheka kidogo,