Cholera is killing Kenyans big time now

ushashi

JF-Expert Member
Jul 29, 2016
375
518
The so called mid sized economy , the best English speaking country, the most popular in the world, the land of Githeri and slams, the Land of great athletes, the Land Locusts and floods, Kenya has been exposed again by another deadly virus Cholera killing tens of people in the country due to poor sanitation systems resulted by informal settlements, evacuation of the poor left to die along the streets, Poor feeding habits, lack of food, poor or no running water supply and many other factors

What a shame to die of CHOLERA!!
 
Sio kweli bhana, yaani mabalaa your yanawaandama wao? Au hii pia ni gia yakupata mkopo mwingine wa majanga.
 
Mkuu umeandika kwa hasira sana. Cholera inasababishwa bacteria. Tunawapa pole majirani zetu wenye dharau
 
Maeneo mengi ambapo cholera outbreak ilikuwa ikiwatesa kila mwaka sasa hivi kuna nafuu maana wengi wananawa mikono na sabuni bila kupenda na wamepunguza mizunguko na kulakula hovyo mitaani (poor/potentially contaminated water & food) kwa sababu ya COVID19

Cholera haisababishwi na virus...ni bacteria aitwae Vibrio Cholerae
 
Watanawaje mikono wakati Nairobi tu kuna shida kubwa ya maji!
 
Kumbe na cholera ni virus? Sijui shule ulikwenda kusoma nn

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maeneo mengi ambapo cholera outbreak ilikuwa ikiwatesa kila mwaka sasa hivi kuna nafuu maana wengi wananawa mikono na sabuni bila kupenda na wamepunguza mizunguko na kulakula hovyo mitaani (poor/potentially contaminated water & food) kwa sababu ya COVID19

Cholera haisababishwi na virus...ni bacteria aitwae Vibrio Cholerae
Kenya hawana vyoo, wanarusha mavi hewani (Flying toilets) pale Nairobi na sehemu zingine, mvua ikinyesha yanabebwa na kupelekwa katika vyanzo vya MAJI, unategemea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Please go help the street family parked at Jivanjii at least with 5 litters of rain water to make it through the day.... chokoraa are dying and are the mostly affected by the carfew due to the fact that they depend on open restaurants to run their lives during the night..but now nothing is happening.
Kumbe na cholera ni virus? Sijui shule ulikwenda kusoma nn

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom