Chocolate kukufanya mwembamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chocolate kukufanya mwembamba

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, May 6, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Watu wanaokula Chocolate mara kwa mara huwa wembamba. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya. Karibu watu 1000 nchini Marekani walifanyiwa utafiti ambao wamekuwa makini katika vyakula vyao.
  Waliokuwa wakila Chocolate mara kwa mara walipatikana wakiwa wembamba kuliko wenzao ambao hula Chocolate baada ya muda.Wanasayansi wanasema, japo Chocolate ina sukari nyingi, ina viungo ambavyo husaidia kupunguza uzito wa mwili, lakini siyo kuchoma mafuta.
  Hii siyo mara ya kwanza wanasayansi wameelezea umuhimu wa Chocolate. Utafiti wa awali umeonyesha Chocolate inasaidia moyo.Baadhi ya chocolate zinasaidia kupunguza msukumo wa damu, kiwango cha sukari mwilini pamoja na mafuta.
  Lakini kuna onyo la kuwa makini na Chocolate unayoila kwani baadhi zina sukari na mafuta mengi.Ikiwa unataka kuwa na afya bora, jaribu kula mboga na matunda mengi BBC Swahili - Kwa Kina - Chocolate kukufanya mwembamba
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mmmh mie mbona sipungui?
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  @BADILI TABIA Pole sana huli kila siku Chocolate hahahahahah. ndio maana hunenepi wewe.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,641
  Likes Received: 82,289
  Trophy Points: 280
  ....Haya bana MziziMkavu!!! utaacha watu wafakamie :):) chocolate kwa kudhani kwamba watapunguza vitambi vyao. Si unajua tena credibility yako ilivyo juu hapa jamvini.
   
 5. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmh mbona wengine tukifanya diet huwa tunakatazwa tusile chocolate??!!
   
 6. T

  Tanzaniaone Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  :A S 465:Hello my friends,
  i hope weekend is treating you fine.....!!!!
   
 7. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,378
  Likes Received: 690
  Trophy Points: 280
  tehe....tehe.....tehee..... nimesoma kutoka kwenye source lakini makosa ya mbadala y w tu yameondoa maana kwenye paragraph ya mwisho. hata hivyo asante kwaushauri
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Nanajuwa lakini kwa mujibu wa watafiti wa Kimarekani Wana Sayansi mimi nimekopi na kuweka hapo sijafanya utafiti lakini Wa Marekani ndio walifanya huo Utafiti na mimi ninamini hivyo mkuu.

  Poleni sana kwa kukatazwa hivyo mkuu.
   
 9. m

  manasa Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  basi me nilikuwa nazikwepa kumbe zinapunguza unene so what i just need is to be selective good.
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  @manasa Kwani wewe unapenda unene? hupendi kuwa mwanamke mwembamba kwa ulaya tunamuita mwanamke wa model?
   
Loading...