Chochote ujuacho kuhusu toyota rush

The_Poxs

Member
Jul 20, 2015
51
77
Naomba tujuzane lolote unalolijua au ulilowahi kusikia kuhusu hii gari anaina ya toyota rush ama liwe positive ama negative
 
Hizi gari hazipo kabisa cormforatable barabarani especially ukiwa kwenye mwendo kasi inaweza hata kuhama njia
 
Hii gari ni nzuri sana kuanzia confirtability, fuel consumption na ukipata ile yenye 4WD unakwenda popote.. ina kaugonjwa sana kwenye steering rake yake. Kati ya watu wenye nayo kila ukiuliza watakuambia hiyo ndio shida sijui walikosea wapi maana huwa inasumbua sana kwenye hizi gar
 
Daihatsu walizingua sana hizi steering. Inavyosumbua huku na kwenye passo ni hivyo hivyo. Ndo ugonjwa wake
 
Hii gari ni nzuri sana kuanzia confirtability, fuel consumption na ukipata ile yenye 4WD unakwenda popote.. ina kaugonjwa sana kwenye steering rake yake. Kati ya watu wenye nayo kila ukiuliza watakuambia hiyo ndio shida sijui walikosea wapi maana huwa inasumbua sana kwenye hizi gar
Kweli nahisi stering haziko vizuri hili na mimi nililiona nikiendesha gari ya rafiki yangu. Haikunipendeza. Lakini ni gari nzuri kwa mwonekano na muundo wake. Inapita barabara aina zote
 
Hii gari ni nzuri sana kuanzia confirtability, fuel consumption na ukipata ile yenye 4WD unakwenda popote.. ina kaugonjwa sana kwenye steering rake yake. Kati ya watu wenye nayo kila ukiuliza watakuambia hiyo ndio shida sijui walikosea wapi maana huwa inasumbua sana kwenye hizi gar
Yes tatizo lake kubwa ni hiyo sterling rek otherwise ni gari nzuri na mafuta hainywi
 
Back
Top Bottom