Chochote kitu anaomba msaada wa kimawazo

Chochote kitu anaomba msaada wa kimawazo

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Naomba nikuulize msomaji huwa una kabiliana vipi na hali Kama hii.

Iko hivi, wakati tunasoma chuo kikuu Kuna wadau inaweza pita ata miezi 3 hamjawahi salimiana sio mna ubaya la hasha.

Wengine ilifikia Hadi unawaomba msaada wa kudiscuss wanagoma kusolve bla bla nyingi. Kiufupi niliishi nao Kama jamii Ila msaada ilikuwa zero, mda mwingine unapata C wao A ila hawana Cha kukushirikisha kimasomo pale uombapo msaada wa kimasomo.

Mungu si athuman, chuo kikaisha, nimekosa mtaani 2 yrs nikapata ajira. Mshahara mnono kiasi, sasa wale jamaa bado wapo kitaa wakapata taarifa mwenzetu amepata ajira mara.

Wanaanzisha lawama, umetusahau, hauko Kama awali, ututafuti tena, ujibu text zetu.

Nashindwa kuwajibu maana waliniona sijui kusolve simbi wakati huo ata leo siwezi jishugulisha nao.

Kiufupi nimeamini ridhiki Kama ni yako Ni yako tu itakuja tu ata kwa kuchelewa.
 
Kawaida hizo ndo binadamu bado mpaka ndugu usishangae mtu akaja kukaa hapo kwako Kwa kivuli wewe umtafutue ajira unaweza kushangaa
 
Naomba nikuulize msomaji huwa una kabiliana vipi na Hali Kama hii.

Iko hivi, wakati tunasoma chuo kikuu Kuna wadau inaweza pita ata miezi 3 hamjawahi salimiana sio mna ubaya la hasha.

Wengine ilifikia Hadi unawaomba msaada wa kudiscuss wanagoma kusolve bla bla nyingi. Kiufupi niliishi nao Kama jamii Ila msaada ilikuwa zero, mda mwingine unapata C wao A ila hawana Cha kukushirikisha kimasomo pale uombapo msaada wa kimasomo.

Mungu si athuman, chuo kikaisha, nimekosa mtaani 2 yrs nikapata ajira. Mshahara mnono kiasi, sasa wale jamaa bado wapo kitaa wakapata taarifa mwenzetu amepata ajira mara
Wanaanzisha lawama, umetusahau , hauko Kama awali, ututafuti tena, ujibu text zetu.

Nashindwa kuwajibu maana waliniona sijui kusolve simbi wakati huo ata leo siwezi jishugulisha nao.

Kiufupi nimeamini ridhiki Kama ni yako Ni yako tu itakuja tu ata kwa kuchelewa.
Dogo inaonekana hauna experience na maisha. Hao ndio binadamu , watalaumu ukifanikiwa, ukishuka watasema tena.

Ishi maisha yako , level iliyopo itakupa new friends. You dont need old friends
 
Wewe chapa kazi...na usiwaingize kwenye inner circle yako kama unaamini kuwa ni watu wabaya. Kama ni buku mara moja moja unaweza kuwapa, lakini kwa mbali! Vinginevyo potezea mazima uanze na marafiki wapya

Na maisha haya hayana fomyula. Usijione sasa kwamba wewe ndiyo umefika. Hujui kesho wala keshokutwa itakuwaje.

Stay humble...and focused!
 
Unashangaa watu wengine kutokuwa na time nawe wakati huo, halafu nawe unafanya vilevile kutokuwa na time na hao watu wakati huu...!!!
 
Kuna dogo nilisoma nae secondary darasa letu hatukua wengi sana kutokana na nfumo wa shule nilisoma walikua na idadi yao ya wanafunzi wanaowataka, tumemaliza form 4 wote tulipata division 1 na 2 tu kasoro yeye tu alikua na div 3 alikua mzito sana kichwani tangu form 1, baada kumaliza o level kila mtu na mishe zake miaka imeenda sana yule dogo alie na division 3 alikuja pata kazi nzuri sana, kwahiyo kupata na kukosa hapa duniani Mungu ndiyo mtoaji
 
Dogo endelea na.mambo yako. Nilishakuwa na marafiki wa namna hiyo. Nilipewa somo likakaa kichwani. Mgodi ulipofumuka niliendelea kuwasahau kama walivyonisahau.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Rafiki saivi ni hela tu

Ana nini cha kunisaidia? Kauli ambayo humleta mtu ili kufaidika kupitia wewe.
 
Back
Top Bottom