Chizi wa Mapenzi

Chizi wa Mapenzi

cashimiry

Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
12
Reaction score
0
Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi wapo ndani (jela) je!?mnanishauli niwafanyeje!?
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,jamii ndio kioo cha tabia za huyo mjomba wetu.Elimu ni zaidi ya wito maana hitaji mtu mwenye nidhamu,juhudi na maarifa.Kama tu Mjomba ana ujasiri wa kulala Kwa mwanaume akiwa kidato cha 3 basi akifika cha 4 atahamia kabisa.Akibahatika kufika kidato cha 5 japo Kwa BRN atongeza idadi ya wanaume Kwa hiyo atakua na shift za usiku na endapo atafika chuo night clubs zote na baa maarufu atazijua.Ila cha kusikitisha afya yake haitakua salama tena akimaliza chuo mtatumia mda mwingi kumuuguza na mkipata nauli mtampeleka India ili abadilshiwe damu.Sasa kabla hayo yote hayajatokea nakushauri mtoe jela,mshauri vizuri,kua karibu nae hunda akabadilika.Huwezi amini huko jela yuko anajifunza mapya.
 
Inaelekea wanapendana sana, wafungishe ndoa.

Weka picha zao kwanza.
 
kuwaweka Jela sio dawa.. mapenzi ni ugonjwa hasa wakianza kumegana ktk umri huo.... muhimu ni kumpa somo dunia ajiepushe na Kibendi (atumie condom) kwani huwezi kumzuia ikiwa amependa
 
Inaelekea wanapendana sana, wafungishe ndoa.

Weka picha zao kwanza.

1268153_582852191752479_1034271400_o.jpg
 
Muulize anapenda shule or kuolewa?
Sure kuna Binamu Yang alifanya hivyo kuulizwa akasema anamtaka huyo anayemtorosha baba kampiga na kumpeleka burning ya girls still akawa anatoroka na sasa amemaliza na ana ziro
Mtoto ni malez kama umeshajua utamu wa gegedo inahtajika kazi kumrudisha njia kuu
 
wapeleke Bomani wakafunge ndoa, we chukua mahari
 
Lakini vijana wa siku hizi wanaanza mapemaaaa!!!
 
Kumuweka sero sio kutatua tatizo bali mtakuwa mmeongeza tatizo. Mpwa wako yupo katika kipindi hatari cha mehemuko mingi. Fanyeni democracy iwe ndio njia ya kumsaidia kutatua tatizo alilo nalo.
 
Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi wapo ndani (jela) je!?mnanishauli niwafanyeje!?

Pole kwa huo mtihani unaopata kutoka kwa huyo mjomba wako wa kike.
 
Nenda kawatoe, zungumza na binti yako anahitaji nini katika maisha yake katika lile atakalochagua ndiyo anzia hapo kumpa ushauri.

Pili jitahidi uyajue mahitaji ya binti yako wakati mwingine ni vishawishi tu vya kumuona mwenzake anamiliki hiki basi na yeye anataka kuishi kama wenzake,au anakosa mahitaji fulani yeye kama binti.

Tatu jitahidi uwajue rafiki zake.

Nne jitahidi kuwa rafiki zaidi kwake kuliko kuwa adui,muonyeshe upendo zaidi.

Tano muhimize ibada,kama nawe si mtu wa ibada jitahidi uanze wewe na familia yako.
 
Back
Top Bottom