P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 450 Mar 28, 2013 #1 Chizi kapelekwa hospitali mambo yakawa hivi Doka: unatatizo gani Chizi: Nikilala huwa naota nyani wanacheza mpira!!! Dokta: Itabidi nikupe dawa ili usiote tena Chizi : Labda unipe kesho maana leo ndo wanacheza fainali..........................
Chizi kapelekwa hospitali mambo yakawa hivi Doka: unatatizo gani Chizi: Nikilala huwa naota nyani wanacheza mpira!!! Dokta: Itabidi nikupe dawa ili usiote tena Chizi : Labda unipe kesho maana leo ndo wanacheza fainali..........................
K kunju Member Joined Feb 27, 2013 Posts 21 Reaction score 0 Mar 29, 2013 #2 Aaaah umetisha mkuu na mshindi wa tatu