chitchat haiwahuuuu!!!!!

Nimeshtuka sana uliponiita! Halafu nimekuja hapa nimekuta vitu vyekundu vyekundu tu! Something must be wrong! Tutaongea hiyo baadae switii!

Kuna muda nakasirika halafu najikuta tena kipimo cha upendo kwako kinazidi hasira.....
 
Filipo Filipo Filipo ?????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Bishanga hawa wanataka kutibua udugu na umoja wetu.. Imagine kupitia CC baadhi ya members wamekutana live na kuenjoy,kubadilishana mawazo,etc.
Dawa ni unapoiona thread ya namna hiyo unaichakachua positively... Mods nieleweni...

Nakuunga mkono kabisa....
 
ahahahhahahhahhahahha mtakoma sana CC!kama inawakera kiasi hiki huwa mnapita kufanya nini huku!
au ndo yale yale mi sikujua kuwa huu ndo mlango wa huku!?amsbnmjhsdcnsdjsfnbws]fsbfiuwfkwfiuwefwehfuiwedwifwdfwuwdisdcbsdnsddgsc zako!

Kideri ni ugonjwa wa kuku ukimpata binadamu anakuwa kama kichaa..

uliitwa?mbona waji pendekeza?

Ndo mnaokwenda kama mnakuja, unaingia mahali hata hupajui only to find yourself in a wrong place. ptuuuu!!!!!

uliitwa au ndo kujipendekeza????
Lione kwanza

Wasalimie wote.

Last edited by a moderator:
Erickb52 kinauma kibuti achaa, kisikilizie kwa mwenzio, tena cha hadharani? amu hakuna jinsi tunaeza leta upatanishi?

aaaa wapi ujue hizo ni talaka 10 si moja au mbilii atiii
na jibuzi la ukweeee Asprin tunakula raha tu.
Kwanza huyo Filipo mwenyewe nlikuwa namlea nampa hela ya matumizi ampeleke marejesho
 
Last edited by a moderator:
aaaa wapi ujue hizo ni talaka 10 si moja au mbilii atiii
na jibuzi la ukweeee Asprin tunakula raha tu.
Kwanza huyo Filipo mwenyewe nlikuwa namlea nampa hela ya matumizi ampeleke marejesho

Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa nimechekaje mie amu, japo namuonea huruma Filipo, afu talaka 10 nyingi bora ingekuwa TALAKA REJEA lol?
Asprin anakupa mifwedha siyo? Ila wazee hao luku vere..................
 
Wala usijali love, ntakununulia kiwembe kipya tena Gillette, unichune utakavyo. Ngozi yako hii mama.....:majani7::majani7:

Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa nimechekaje mie amu, japo namuonea huruma Filipo, afu talaka 10 nyingi bora ingekuwa TALAKA REJEA lol?
Asprin anakupa mifwedha siyo? Ila wazee hao luku vere..................
Binti amu ukisoma hapo kwa red huoni kuna kadalili ka wivu wa kike?

Skiza BIBIE KOKUTONA..... wala usiwe na hofu, next month nakuja Tanga, kazi kwako kama unataka kujifunza uchunaji. Uzuri wetu mababu unapata mihela mingi kwa kazi ndogo......:becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa nimechekaje mie amu, japo namuonea huruma Filipo, afu talaka 10 nyingi bora ingekuwa TALAKA REJEA lol?
Asprin anakupa mifwedha siyo? Ila wazee hao luku vere..................

Tell her, dont dance and Asprin (usicheze na Asprin ,niko kisomi zaidi leo)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…