Chitanda ajiunga na CCM

...bado zito,nae ataenda tu...
Zitto anaishi ktk mateso makubwa sana sasa hivi. Ana mapepo 3. 1. Pepo la umaarufu wa vyombo vya habari, 2. Pepo la kuongoza CDM kwa maelekezo ya CCM na 3. Pepo la uongo, fitina na uchimvi. Mapepo haya wakati huu hayapati mahitaji yake kwa muda na kiwango yanayotaka, yanamtesa!
 

Ndiyo kawaida ya watu wenye kuangalia maslahi yao binafsi hufanya kama Chitanda alivyofanya. Watu wa tabia yako ndio wanaitwa wasaliti wa demokrasia. kwa mtu mwenye akili kabisa mtu kigeugeu wa kuhama hama vyama hawezi hata kuaminiwa na watoto wake. Sembuse uma wa watanzania. Kimsingi hufai kwenye uwanja wa siasa. Shika jembe kalime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…