Kama sijaelewa elewa, but you are my best too.
Angalia mtiririko wake wa thread na post anazoweka ucku huu utamwelewa
Acha u shambenga Nicas Mtei....ukuwadi umeanza lini?
hahaha. Mi ndo mlinzi wa zamu
Kweli nimeamini Rubisi ukichanganya na kiroba unakaribia kuwa chizi
duu mzee mzima unatema swagga za kitaa kama nini hahaha Bishanga wewe ni mzee kijana kweli. siwezi kukuamini kuwa karibu na wake zangu unaweza niharibia
duu mzee mzima unatema swagga za kitaa kama nini hahaha Bishanga wewe ni mzee kijana kweli. siwezi kukuamini kuwa karibu na wake zangu unaweza niharibia
Kama sijaelewa elewa, but you are my best too.
ummu kulthum bado unashida na kiti tu?weweeee!!haujafugwa tu
ummu kulthum bado unashida na kiti tu?