Ngoja niende sasa, naona una hamu sana ya kupiga chabo!
nimemkuta mitaa flani yuko kazini anazichanga za sikukuu
Umejuaje mkuu! Duh'
wivu sina ila nauliza tu,unaenda kweli!?
Heheheeee then badae hadi saa nane lol bora uunganishe wa sasa na wa baadae ili ukimbonji iwe hadi keshooo.
Mke wake asinge mchuna kiasi cha kunywa coca orange
wivu sina ila nauliza tu,unaenda kweli!?
madame B kama kimbunga cha katrina
Kipipi hebu angalia angalia hapo pembeni kama hujanimiss inawezekana hujui au umesahau
Bye Bye!
Njoo huku PM nikuambie ki2