View attachment 76486
View attachment 76487
Hebu jione hapo....kati yangu mimi na wewe nani hendsam????
nakupenda darling The secretary,mmmmwwwwaaaaa!!!!!una nini?
Hilo domo lako hulioni???? bora limpua langu...linafanya kazi maalumbora mi naweza kupaka carolite ila wewe hilo lipua kama mundu. Yaani wewe ukidondokea pua lazima iletwe sururu la kuchimbua
TANMO kazidi aisee alipiga umbea nikataka kuachana na my wife
yamekuwa hayo? Halafu una bahati wewe Zinduna hajakumulika na kurunzi lake.Keni yuu imajini kuwa sosi ya ile habari ni Bishanga Abashaija a.k.a Bepari la Kihaya a.k.a Mdhamini Mkuu wa JF Udaku?
TANMO anatumika kama daraja tu, maana ndiye mhariri mkuu na anaandika habari kwa shinikizo la Mdhamini wake, Bwana Abashaija.
namshangaa nitts,we mwache asubiri nikim surprise na offer ya kumpeleka yeye na mkewe sweetlady wakatembee st martha vineyard.
wahenga walisema 'mwembe wenye matunda ndo hupopolewa mawe',si bure tunaonewa gere,iko namna machichater tume win jf kwa ukaribu wa members wake.Vinawauma.Vinawatesa.Vinawakaba koo.Siku nyingine mtu akituchokonoa tutupiane PM au sms chapchap tuingie kwenye hiyo post tumrarue mbaya wetu.Watatukomaje 2013?
Umeona eeeh!! yaani ukiitumia vizuri huachiki kabsaaa!!!mmmhhhh mpua wako huwa unachokonoa nini? Niniliyu?
polonium...dah! Ilimmaliza yule mrusi london.Ikiwa karibu na sikukuu unakuwaga na miakili mingi kama nini yaani. Unajua kuna mijitu inataka wote tuwe na stress kama yenyewe,full time mipovu ku mdomo, yanapoona sie muda wote tumeweka shida chini tunarusha mikono juu kinawakaba ku moyo. Hawajui kuwa hapa When life gives us lemons we break the tequila. Viva chit chat wenye wivu wakajipake Pollonium 210
Hilo domo lako hulioni???? bora limpua langu...linafanya kazi maalum
Umeona eeeh!! yaani ukiitumia vizuri huachiki kabsaaa!!!
hahahaha! mwl mwenzangu wajipake POLLONIUM 210?? utaua watu khaa!Ikiwa karibu na sikukuu unakuwaga na miakili mingi kama nini yaani. Unajua kuna mijitu inataka wote tuwe na stress kama yenyewe,full time mipovu ku mdomo, yanapoona sie muda wote tumeweka shida chini tunarusha mikono juu kinawakaba ku moyo. Hawajui kuwa hapa When life gives us lemons we break the tequila. Viva chit chat wenye wivu wakajipake Pollonium 210
Hilo domo lako hulioni???? bora limpua langu...linafanya kazi maalum