ma chit chater wachache ambao nimebahatika kukutana nao ni watu wazuri,waelewa,wanajiheshimu,hapa CC wanachotafuta ni kicheko.Tatizo kuna watu wanajiona wao uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa kuliko wa wakina bishanga,wangejua.....
wahenga walisema 'mwembe wenye matunda ndo hupopolewa mawe',si bure tunaonewa gere,iko namna machichater tume win jf kwa ukaribu wa members wake.Vinawauma.Vinawatesa.Vinawakaba koo.Siku nyingine mtu akituchokonoa tutupiane PM au sms chapchap tuingie kwenye hiyo post tumrarue mbaya wetu.Watatukomaje 2013?
Yaani bora hata hili lipua langu...
Hebu angalia kazee kama Bishanga kanashinda huku 24/7 kanatafuta nini?
J
mzee unanikokea moto? Muulize Mamndenyi habari yangu.Halafu kumbe Cantalisia alikupimwaga?Yaani bora hata hili lipua langu...
Hebu angalia kazee kama Bishanga kanashinda huku 24/7 kanatafuta nini?
J
halafu we na pua lako mbona na wewe na unashinda huku
umenikunaje? Una akili sana wewe.bora yeye mzee anatafuta vimwana na anawapata kweli kwa mijihela yake wenyewe wanakwambia swt wangu Bishanga ana mate marefuuuuuuuuuuu tena matam uspime.
sasa wewe na mpua wako huo nani akutake?? angalia tu kwanza membership status yako inamgogoro utajilinganisha na zee la mate lenye m-TANZANITE??
bora yeye mzee anatafuta vimwana na anawapata kweli kwa mijihela yake wenyewe wanakwambia swt wangu Bishanga ana mate marefuuuuuuuuuuu tena matam uspime.
sasa wewe na mpua wako huo nani akutake?? angalia tu kwanza membership status yako inamgogoro utajilinganisha na zee la mate lenye m-TANZANITE??
wahaya walisema 'omufu nashekelela omujunde' KOKUTONA njoo utafasiri hapa.View attachment 76486
View attachment 76487
Hebu jione hapo....kati yangu mimi na wewe nani hendsam????
we kibabu tu bana....hata pafomansi yako yaelekea ipo chini sanaaa!!! Cantalisia nimemfungia ndani, nakula tu tamu tamu!!!mzee unanikokea moto? Muulize Mamndenyi habari yangu.Halafu kumbe Cantalisia alikupimwaga?
kazidi huyu tukigombana kidogo anatishia kuniacha.
machichater hivi kuna mbeya kuzidi TANMO?