chit chat kwa nini tunaandamwa jamani?

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
wahenga walisema 'mwembe wenye matunda ndo hupopolewa mawe',si bure tunaonewa gere,iko namna machichater tume win jf kwa ukaribu wa members wake.Vinawauma.Vinawatesa.Vinawakaba koo.Siku nyingine mtu akituchokonoa tutupiane PM au sms chapchap tuingie kwenye hiyo post tumrarue mbaya wetu.Watatukomaje 2013?
 
hapo umeongea broda kutwa kutuonea gere, wao wanatuona kama vile hatuna kazi za kufanya. Mi nitawatukana wanaboa sana
 

nipe hela ya sikukuu umetoroka home kisa majukumu hela ya mpunga please
 
hapo umeongea broda kutwa kutuonea gere, wao wanatuona kama vile hatuna kazi za kufanya. Mi nitawatukana wanaboa sana
nyani haoni kundule,yako majukwaa watu wanatukanana na kukashifiana kama hawana akili nzuri sisi hatuwasemi.
 
hahahah! Bishanga kiukweli ili jukwaa lipo juu zaid hivi kwann tusianzishe mashndano kimajukwaa?? like tushindanishe jukwaa lenye watu wenye ukaribu zaid na majukwaa yenye watu wasiotaka kujulikana tuone nani mshindi?? BTW nimegundua most of chit chatters wanaish real life sio kama memba wa maukwaa mengine lol!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niaenze kuwararua!!
Unajua most ya members wa chit chat ni watu ambao wapo wapo tu???
 
nyani haoni kundule,yako majukwaa watu wanatukanana na kukashifiana kama hawana akili nzuri sisi hatuwasemi.

kwan sie huwa tunatukanana?? mie nafikiri huwa tunataniana sana na kupeana maisha ambayo yako live lol!
kama leo nimeamka tu na kukaa kitandani na kuingia chit chat hadi siku iishe lol!
BTW hivi jamani wale ambao hatujasafiri hatutoki this x-mass japo kwa soda tu??
 
ma chit chater wachache ambao nimebahatika kukutana nao ni watu wazuri,waelewa,wanajiheshimu,hapa CC wanachotafuta ni kicheko.Tatizo kuna watu wanajiona wao uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa kuliko wa wakina bishanga,wangejua.....
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niaenze kuwararua!!
Unajua most ya members wa chit chat ni watu ambao wapo wapo tu???
kwi kwi kwi kwi pipoz wakikuchanachana tulizo huwa unalitafuta wapi?
 
mi nimechacha mtaninunulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…