halafu ni kweli nilidate na Bishanga akaanza kunipa story za mamtoni ,kiboko Erickb52 yeye alinipa habari za magari tu hadi kero
hahahahaha
ya kweli haya secretary? Ngoja ni mwambie Bishanga aje kujibu haya maana sitaki kuamini.
bado anafuturu.babu Asprin yeye alianza habari za umuhimu wa shule yani hakuna romantic word hata moja
hahahahahaha! Siamini bado mpaka waje wenyewe na useme mbele yao
kwa hiyo hataa i lov u hakusema?
tena wapo wengi hapa wepesi kweli kwa mistari ila mmmh,
kama Asprin, Bishanga, Erickb52, Pakajimmy na wengine kibao,
kuandika kweli wapo ila uso kwa uso mmmh.
Wenzangu na mie wenye domo zito lhawawezi tongozo lakini hatari hao wakikamata keyboard wanashusha mistari kama kasuku hapo mlimbwende wa jf lazima aingie laini na guess nini kitafuata? Ni kidate somewhere,wote wakiwa smartly dressed,mapochopocho na vinywaji mezani.Kazi inakuja mrembo hapati ile mistari aliyozoea kwenye pc wanatizamana na stori mbili tatu...baadae he! Kila mtu tkaingia ena jf anabofyabofya ki gadget chake
hubby nani anakusema vibaya? waambie waje kwangu kwa evidence zaidi! lol, ila kweli na we punguza udomo zege, umeibiwa weeeeeeeee ila umo tu, wenzio wanatumia shortcut!
Thats my Wife Material........... Goodmorning honey?weweweeeee tena uishie hapo hapo, mume wangu asprin anajua kushusha mistari...... Alinishushia hadi nikatafuna vidole.... Mtake radhi plz.....
Afu we katibu muhtasi, kuna kitu nataka nikuambie. Hebu kam zis way PM nikuambie kitu kitamu sana.bado anafuturu.babu Asprin yeye alianza habari za umuhimu wa shule yani hakuna romantic word hata moja
weweweeeee tena uishie hapo hapo, mume wangu asprin anajua kushusha mistari...... Alinishushia hadi nikatafuna vidole.... Mtake radhi plz.....
Afu we katibu muhtasi, kuna kitu nataka nikuambie. Hebu kam zis way PM nikuambie kitu kitamu sana.
Kwani we yanakuhuuu?
Wenzangu na mie wenye domo zito lhawawezi tongozo lakini hatari hao wakikamata keyboard wanashusha mistari kama kasuku hapo mlimbwende wa jf lazima aingie laini na guess nini kitafuata? Ni kidate somewhere,wote wakiwa smartly dressed,mapochopocho na vinywaji mezani.Kazi inakuja mrembo hapati ile mistari aliyozoea kwenye pc wanatizamana na stori mbili tatu...baadae he! Kila mtu tkaingia ena jf anabofyabofya ki gadget chake
Thats my Wife Material........... Goodmorning honey?
majibu ameshatoa secretary hapo juu,
mimi siongezi neno.