JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
anza na mimi aisee!. mtu asiye jiandikisha hataruhusiwa kuvizia madada zetu wa jf. mia
matatizo ya maisha huanza polepole na baadae huja kuwa zaidi..
Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6 munakaribishwa. Na wale mabachela wa longtym kama noahism na figganigga munakaribishwa kujinyakulia kujitwaalia nafasi za uongozi wa chama cha raha a.k.a CHIT CHAT BACHELORS... Uandikishaji umeanza... Wahi sasa
Niandike ila kwa matumizi ya siku zijazo.
Na mimi nimo!!