Ukifuatilia sana unaweza kubaliana na huyu jamaa. Maana wachezaji wengi ambao huonekana ni wazuri wakiwa Yanga hubadilika na kuwa wa hovyo wakienda Simba na ama Azam kwa sasa. Hali hii ni tofauti na kinyume chake. Ni wachache sana waliofanya vyema (kuanzia miaka ya tisini). Kidogo Aswile, Kipese, Kizota, Mwanamtwa, Nemes. Ila kwa wanaotoka Yanga na kwenda timu zingine kisha Simba/Azam hao sawa mf. China, Muso. Ila kwa wanaotoka Simba/Azam kwenda yanga karibu wote mambo huwanyookea. Mogella, Gaga, Method, Yondan, SMG, Makunda, Ajib, Gadiel, nk. Nadhani yanga ni makini zaidi wanapochukua mchezaji toka timu pinzani na wanaangalia kiwango kwa makini tofauti na Simba/Azamu, wao huchukua tu mradi katoka Yanga.Ukitoka Yanga Kwa mbwembwe utaacha mpira Yanga
Chirwa hana akili timamu, kafuata hela tu pale. Mchezaji mwenye akili timamu hawezi kugomea mechi hata siku moja kwasababu yoyote ile. Wachezaji wote wenye akili wanagomea kuongeza mkataba kwenye timu yenye mambo yanayomkera sio kugomea mechi na kwenda kulima mahindi nyumbani kwao, Ngoma naye alijifanya anaumwa sana.Azam wanapesa Ila hawajui kuzitumia,maana makombo yote ya Yanga yanafail,angalia Domayo,kavumbagu,saiz ngoma na chirwa,baadaye makambo naye watamchukua,huwa najiuliza wanshindwaje kununua wachezaji wazuri wakati pesa wanayo?
jina linawatia hamu wapinzani wao kuwalambaAzam inateswa na JINA? Jina HALIWABEBI wangebadilisha jina lingine! Kwana AZAM Wamekosa nini? Kila kitu wanacho lskini USHINDI wanaupata kwa TABU SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam hawana falsafa hadi leo. mara wanakuza vipaji, mara wanasajili lonya, mara wanauza wachezajiKwani Kuna nini Azam.
Mi naona Azam inafanya vizuri tu kwenye ligi ya Tanzania.
-Azam tayari ni mabingwa wa Mapinduzi Cup mwaka huu wa 2019 na wamelichukua mara tatu mfululizo.
-Azam inashika nafasi ya pili kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Tanzania.
Au mnata Azam ifikie kiwango cha TP Mazembe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana mkuu umeshindwa kutambua kwamba Kamusuko kaitumikia Yanga kwenye kiwango bora kabisa na sasa kiwango kimeshuka sababu ya umri?!vipi Kamusoko naye kahama timu maana naye Hanna kitu...
Ni issue ya Muda tu...siyo Kwasababu eti Ngoma na Chirwa wamehama Yanga
Naona hajui huyo, sisi kamusoko hatudai hatumdaiIna maana mkuu umeshindwa kutambua kwamba Kamusuko kaitumikia Yanga kwenye kiwango bora kabisa na sasa kiwango kimeshuka sababu ya umri?!
Walichobugi Azam ni kumuondoa Saad Kawemba tu.Nakubaliana nanyi ,Azam ktk suala la usajiri huwa wanabugi, ndio timu haijui inataka aina gani ya wachezaji
Mara waseme wanakuza vipaji kwa kupandisha vijana wao
Mara waje na hawa akina Ngoma
Inaonekana 10% pale lipo sana ,na Mzee Pluijm kaliona hilo anaenda nao sawa
MTC | 101|
Umesahau kuwaUkifuatilia sana unaweza kubaliana na huyu jamaa. Maana wachezaji wengi ambao huonekana ni wazuri wakiwa Yanga hubadilika na kuwa wa hovyo wakienda Simba na ama Azam kwa sasa. Hali hii ni tofauti na kinyume chake. Ni wachache sana waliofanya vyema (kuanzia miaka ya tisini). Kidogo Aswile, Kipese, Kizota, Mwanamtwa, Nemes. Ila kwa wanaotoka Yanga na kwenda timu zingine kisha Simba/Azam hao sawa mf. China, Muso. Ila kwa wanaotoka Simba/Azam kwenda yanga karibu wote mambo huwanyookea. Mogella, Gaga, Method, Yondan, SMG, Makunda, Ajib, Gadiel, nk. Nadhani yanga ni makini zaidi wanapochukua mchezaji toka timu pinzani na wanaangalia kiwango kwa makini tofauti na Simba/Azamu, wao huchukua tu mradi katoka Yanga.
Azam wanapesa Ila hawajui kuzitumia,maana makombo yote ya Yanga yanafail,angalia Domayo,kavumbagu,saiz ngoma na chirwa,baadaye makambo naye watamchukua,huwa najiuliza wanshindwaje kununua wachezaji wazuri wakati pesa wanayo?
Ina maana mkuu umeshindwa kutambua kwamba Kamusuko kaitumikia Yanga kwenye kiwango bora kabisa na sasa kiwango kimeshuka sababu ya umri?!
Kwani Kuna nini Azam.
Mi naona Azam inafanya vizuri tu kwenye ligi ya Tanzania.
-Azam tayari ni mabingwa wa Mapinduzi Cup mwaka huu wa 2019 na wamelichukua mara tatu mfululizo.
-Azam inashika nafasi ya pili kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Tanzania.
Au mnata Azam ifikie kiwango cha TP Mazembe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli, Abdul ni mswahili wa kiwango cha juu mno halafu ana roho mbaya kushinda maana ya roho mbaya yenyewe. Azam walibugi sana kwa huyuWalichobugi Azam ni kumuondoa Saad Kawemba tu.
Huyo ndiyo Peter Kenyon wa bongo.
Wakachukua mswahili Abdul Mohamed
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam inateswa na JINA? Jina HALIWABEBI wangebadilisha jina lingine! Kwana AZAM Wamekosa nini? Kila kitu wanacho lskini USHINDI wanaupata kwa TABU SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam hawana falsafa hadi leo. mara wanakuza vipaji, mara wanasajili lonya, mara wanauza wachezaji
Ukitoka Yanga Kwa mbwembwe utaacha mpira Yanga