Azam FC kama haikucheza leo 25/02/2024

chaduma

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
205
259
Leo Azam imecheza na Maafande wa Mbeya na wametoa draw. Chakushangaza sioni kwenye mitandao taarifa zao kutawala kumekuwa kimya, sana sana habari za Yanga tu ndiyo zimetawala.

Draw ya pili kwa mfatano hakuna mashabiki wala wapenzi kukasirishwa tofauti ingekuwa Yanga au Simba. Team iliyowekeza vya kutosha kutoka sare za kiholela bado unataka Ubi gwa.Inamaana Azam ndiyo imepotezewa hivi haina mvuto ki hivi.

Pamoja na Bangala na Faisali kuwepo kundini. Nimeamini wekeza uwezavyo hapa TZ Yanga Simba habari nyingine.
 
Leo Azam imecheza na Maafande wa Mbeya na wametoa draw. Chakushangaza sioni kwenye mitandao taarifa zao kutawala kumekuwa kimya,sana sana habari za Yanga tu ndiyo zimetawala. Draw ya pili kwa mfatano hakuna mashabiki wala wapenzi kukasirishwa tofauti ingekuwa Yanga au Simba. Team iliyowekeza vya kutosha kutoka sare za kiholela bado unataka Ubi gwa.Inamaana Azam ndiyo imepotezewa hivi haina mvuto ki hivi. Pamoja na Bangala na Faisali kuwepo kundini. Nimeamini wekeza uwezavyo hapa TZ Yanga Simba habari nyingine.
Azam nikituko cha ligi, familia nzima ya bakharesa haina uweledi wa masuala ya kabumbu, wao wangezidi kujikita tu kwenye mambo ya ngano, vitumbua, chapati na juice
 
Leo Azam imecheza na Maafande wa Mbeya na wametoa draw. Chakushangaza sioni kwenye mitandao taarifa zao kutawala kumekuwa kimya, sana sana habari za Yanga tu ndiyo zimetawala.

Draw ya pili kwa mfatano hakuna mashabiki wala wapenzi kukasirishwa tofauti ingekuwa Yanga au Simba. Team iliyowekeza vya kutosha kutoka sare za kiholela bado unataka Ubi gwa.Inamaana Azam ndiyo imepotezewa hivi haina mvuto ki hivi.

Pamoja na Bangala na Faisali kuwepo kundini. Nimeamini wekeza uwezavyo hapa TZ Yanga Simba habari nyingine.
Ifike Mahala WanaYanga tuwe na Staha na tukubali kuendelea na Maisha bila Wachezaji walioondoka. Kuachana na Yanga inakuwa Gubu na Nongwa yaani Mashabiki wamejaa gubu na Wivu wa Kijinga.
Kwani huwezi kuitaja Azam bila Feisal au Bangala. Waache Vijana watafute pesa, wewe endelea na Gubu lako mwishoe ndio mnaambiwa Wachawi mna Majini kwa tabia hizi hizi.
 
Leo Azam imecheza na Maafande wa Mbeya na wametoa draw. Chakushangaza sioni kwenye mitandao taarifa zao kutawala kumekuwa kimya, sana sana habari za Yanga tu ndiyo zimetawala.

Draw ya pili kwa mfatano hakuna mashabiki wala wapenzi kukasirishwa tofauti ingekuwa Yanga au Simba. Team iliyowekeza vya kutosha kutoka sare za kiholela bado unataka Ubi gwa.Inamaana Azam ndiyo imepotezewa hivi haina mvuto ki hivi.

Pamoja na Bangala na Faisali kuwepo kundini. Nimeamini wekeza uwezavyo hapa TZ Yanga Simba habari nyingine.
azam timu ndogo
 
Azam nikituko cha ligi, familia nzima ya bakharesa haina uweledi wa masuala ya kabumbu, wao wangezidi kujikita tu kwenye mambo ya ngano, vitumbua, chapati na juice
Unataka kunambia mkuu wanaoendesha team ni wao hawajaajiri wabobezi wa maeneo hayo? Basi watakuwa watu wa ajabu sana.
 
Leo Azam imecheza na Maafande wa Mbeya na wametoa draw. Chakushangaza sioni kwenye mitandao taarifa zao kutawala kumekuwa kimya, sana sana habari za Yanga tu ndiyo zimetawala.

Draw ya pili kwa mfatano hakuna mashabiki wala wapenzi kukasirishwa tofauti ingekuwa Yanga au Simba. Team iliyowekeza vya kutosha kutoka sare za kiholela bado unataka Ubi gwa.Inamaana Azam ndiyo imepotezewa hivi haina mvuto ki hivi.

Pamoja na Bangala na Faisali kuwepo kundini. Nimeamini wekeza uwezavyo hapa TZ Yanga Simba habari nyingine.
Wachezaji wote wa yanga wakiamia Azam na wachezaji wote wa Azam wakiamia yanga

Yanga mpya (Azam ya zamani) itakuwa bora kuliko Azam mpya (yanga ya zamani)

Kufanya vizuri kunashinikizwa na hamasa ya vitu vingi ikiwemo; uongozi, mashabiki, pesa, benchi la ufundi nk

Azam wana hamasa ya pesa tu.

Mwaka jana walikuwa wanaruhusu mashabiki waingie bure pale chamazi complex (kwenye mechi zao)

Cha ajabu mashabiki walikiwa wanajaa ila walikuwa wanapenda kuwazomea mpaka wakaamua waache utaratibu huo
 
Vilabu ni viwili tu kwa hapa Tanzania,
Simba na Yanga.

Hao wengine ni wasindikizaji
 
Back
Top Bottom