Chipukizi waliosajiliwa Simba na Yanga

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Hawa ndio chipukizi waliosajiliwa timu za Simba na Yanga katika dirisha dogo la usajili.

Pastory Athanas. Stand united - Simba

Emmanuel Martin. JKU - Yanga
 

Attachments

  • MARTIN.jpg
    MARTIN.jpg
    8.9 KB · Views: 100
  • PASTORY ATHANAS.jpg
    PASTORY ATHANAS.jpg
    71.9 KB · Views: 179
Yanga timu kubwa sio feeder club ya kulea vitoto. Hiyo ni kazi ya vilabu vidogo vidogo.
Anayesajiliwa Yanga anaingia mzigoni straight!
 
Back
Top Bottom