Isayasitemanager
Member
- Nov 23, 2017
- 47
- 40
Mediatek helio P series .Wadau naomba kuuliza, chipset zip za helio zuri ambazo zinaweza kupambana na za snapdragon? Lakin pia zipi za sd ambazo ni poor kuliko mtk? Pia kinachosababisha camera kufifia ni nini kwenye simu kama za ifinixy na tecno, wakati ukinunua camera inakua nzuri sana? Lakin pia nini kigezo cha simu bora, camera bora? Hz ni nini hii? Kwenu wataalamu wa kudadavua mambo
Ok thanxMediatek helio P series .
MediaTek Helio P | Premium Performance
Have you experienced the premium smartphone performance of MediaTek Helio P series smartphone chipsets? Get rich performance in the mid-range segment.www.mediatek.com
Pita hapo
Mediatek nzuri ni dimensity zipo dimensity 700, 800, 900, 1000, 1100, 1200, 8000 na 9000 series.Wadau naomba kuuliza, chipset zip za helio zuri ambazo zinaweza kupambana na za snapdragon? Lakin pia zipi za sd ambazo ni poor kuliko mtk? Pia kinachosababisha camera kufifia ni nini kwenye simu kama za ifinixy na tecno, wakati ukinunua camera inakua nzuri sana? Lakin pia nini kigezo cha simu bora, camera bora? Hz ni nini hii? Kwenu wataalamu wa kudadavua mambo
Kwa kigezo gani ni bora kuliko 8 gen 1?Kuna hii inaitwa mediatek dimensity 9000 ni chip yenye ubora zaidi ya chip zote za qualcomm snapdragon (ukijumuisha sd 8 gen 1). Hii chip imezidiwa kidogo na apple a15 bionic tu.
Umeshiba lakini?Kuna hii inaitwa mediatek dimensity 9000 ni chip yenye ubora zaidi ya chip zote za qualcomm snapdragon (ukijumuisha sd 8 gen 1). Hii chip imezidiwa kidogo na apple a15 bionic tu.
Overall PerformanceKwa kigezo gani ni bora kuliko 8 gen 1?
Ni kweli Dimensity 9000 ni kali kuliko Snapdragon 8 Gen 1 hasa katika Power Consumption na CPU. Hata katika gaming inaizidi SD lakini changamoto Developers wengi they optimize games for Snapdragon processors more often than for Dimensity.Kuna hii inaitwa mediatek dimensity 9000 ni chip yenye ubora zaidi ya chip zote za qualcomm snapdragon (ukijumuisha sd 8 gen 1). Hii chip imezidiwa kidogo na apple a15 bionic tu.
Overall Performance
Si kwamba developers wananoptimize Games na Apps kwa snapdragon bali ni drivers pia.Ni kweli Dimensity 9000 ni kali kuliko Snapdragon 8 Gen 1 hasa katika Power Consumption na CPU. Hata katika gaming inaizidi SD lakini changamoto Developers wengi they optimize games for Snapdragon processors more often than for Dimensity.
Ila kuhusu kuikaribia A15 Bionic bado sana! na hapo kumbuka Dimensity 9000 ni 4nm na A15 ni 5nm. Hivyo Apple ikitoa chip ya 4nm lazima itakuwa bora zaidi ya 4nm ya Dimensity.
Ila respect sana kwa Media Tek, kiukweli ilikuwa inachukuliwa poa lakini siku hizi inajitahidi sana. I can see miaka michache ijayo itazidi kuwa mbali, japo na Qualcomm nayo ina hasira ya kuboresha Chip na ubora wake.
View attachment 2068234