Chipset Zip za MTK ni bora kuliko za SD?

Joined
Nov 23, 2017
Posts
47
Reaction score
40
Wadau naomba kuuliza, chipset zip za helio zuri ambazo zinaweza kupambana na za snapdragon? Lakin pia zipi za sd ambazo ni poor kuliko mtk? Pia kinachosababisha camera kufifia ni nini kwenye simu kama za ifinixy na tecno, wakati ukinunua camera inakua nzuri sana?

Lakin pia nini kigezo cha simu bora, camera bora? Hz ni nini hii? Kwenu wataalamu wa kudadavua mambo
 
Wadau naomba kuuliza, chipset zip za helio zuri ambazo zinaweza kupambana na za snapdragon? Lakin pia zipi za sd ambazo ni poor kuliko mtk? Pia kinachosababisha camera kufifia ni nini kwenye simu kama za ifinixy na tecno, wakati ukinunua camera inakua nzuri sana? Lakin pia nini kigezo cha simu bora, camera bora? Hz ni nini hii? Kwenu wataalamu wa kudadavua mambo
Mediatek helio P series .

Pita hapo
 
Fananisha snapdragon na exynos au kirin, na sio mediatek.

Fananisha mediatek na spreadtrum.
 
Wadau naomba kuuliza, chipset zip za helio zuri ambazo zinaweza kupambana na za snapdragon? Lakin pia zipi za sd ambazo ni poor kuliko mtk? Pia kinachosababisha camera kufifia ni nini kwenye simu kama za ifinixy na tecno, wakati ukinunua camera inakua nzuri sana? Lakin pia nini kigezo cha simu bora, camera bora? Hz ni nini hii? Kwenu wataalamu wa kudadavua mambo
Mediatek nzuri ni dimensity zipo dimensity 700, 800, 900, 1000, 1100, 1200, 8000 na 9000 series.

Pia zipo Helio G series nzuri (sio zote), G series nzuri ni G70, G80 na G90 series.

Kwa Snapdragon za 200 series ama 400 series ambayo sio 480 nazo perfomance yake si nzuri.

Camera inafifia sababu wanatumia hardware mbovu mbovu. Baada ya muda hardware inachakaa.

Angalia reviews mbalimbali kujua simu bora na camera bora, pitia hapa

Kuna hii inaitwa mediatek dimensity 9000 ni chip yenye ubora zaidi ya chip zote za qualcomm snapdragon (ukijumuisha sd 8 gen 1). Hii chip imezidiwa kidogo na apple a15 bionic tu.
 
Kwa kigezo gani ni bora kuliko 8 gen 1?
 
Kuna hii inaitwa mediatek dimensity 9000 ni chip yenye ubora zaidi ya chip zote za qualcomm snapdragon (ukijumuisha sd 8 gen 1). Hii chip imezidiwa kidogo na apple a15 bionic tu.
Umeshiba lakini?
 
Ni kweli Dimensity 9000 ni kali kuliko Snapdragon 8 Gen 1 hasa katika Power Consumption na CPU. Hata katika gaming inaizidi SD lakini changamoto Developers wengi they optimize games for Snapdragon processors more often than for Dimensity.

Ila kuhusu kuikaribia A15 Bionic bado sana! na hapo kumbuka Dimensity 9000 ni 4nm na A15 ni 5nm. Hivyo Apple ikitoa chip ya 4nm lazima itakuwa bora zaidi ya 4nm ya Dimensity.

Ila respect sana kwa Media Tek, kiukweli ilikuwa inachukuliwa poa lakini siku hizi inajitahidi sana. I can see miaka michache ijayo itazidi kuwa mbali, japo na Qualcomm nayo ina hasira ya kuboresha Chip na ubora wake.

Screen Shot 2022-01-04 at 2.12.56 PM.png
 
Overall Performance

View attachment 2068234
Si kwamba developers wananoptimize Games na Apps kwa snapdragon bali ni drivers pia.

Gpu za kwenye Snapdragon zinaitwa Adreno gpu za Amd zinaitwa Radeon, Neno Adreno limetokana na Radeon ni herufi tu zimechanganywa, zamani ilikuwa ni kampuni moja. Adreno za Snapdragon zina drivers nzuri kuliko Mali inayotumika kwenye Mediatek, Exynos na Kirin.

Mtu ambaye anaweza kuja kutetemesha utawala wa Snapdragon kwenye games ni Exynos 2200 inayokuja na Gpu za RDNA2 za Amd. Ila hii nayo ni mpaka tuone reviews.

So far Benchmarks za dimensity 9000 tulizonazo zinatokana na developer unit ambayo ni Tablet kubwa lenye nafasi kubwa hivyo huwezi jua ni kiasi gani ina throttle.
 
Back
Top Bottom