lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Ukienda Mwanza kwa Wasukuma wanatumia chips mayai kama mboga ya kulia gali. Yaani anakula ugali kwa kutumia chips mayai kama mboga. Wakati watu wa Dar es Salaam wanatumia chips kama chakula kamili sisi sijui ndio ku make diet yaani watu wanashindia mboga kama chakula. Ndio maana jamaa wa Mwanza wako fit kuliko wabongo.
Mwenye kujua zaidi atujuze.
Mwenye kujua zaidi atujuze.