DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Msanii wa Bongo fleva @chino_kidd7 baada ya kuona ujumbe alioushea Msanii @iam_mziwanda akiwataka baadhi ya Wasanii wenzake kuweza kumsaidia wapate wimbo wa pamoja ili arudi kwenye game.
Chino Ameguswa na suala hilo na kumtaka Nuh aje Studio ili warekodi wimbo pamoja na kumtaka aache kuwapa watu faida kwani ni kujizalilisha mtandaoni.
Chino ameandika kuwa "Njoo studio kaka mkubwa, acha kuwapa watu faida kakaangu 🫶"