Chinja Chinja: Kauli Mbiu mpya ya CUF

Chinja Chinja: Kauli Mbiu mpya ya CUF

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

Je hawakuwa na wataalam wa kuleta kauli mbiu yenye maana fasaha?

Mchakamchaka, Chinja chinja tupa , Mchakamchaka, chinja chinja tupa!
Alinselema alija, alinsema alija...

Mchakamchaka, Chinja chinja , Mchakamchaka, chinja

250px-Prof._Lipumba_(left)_and_Seif_Shariff_Hamad_(right)_in_their_victory_press_conference_after_the_by-elections,_19_May_2003,_Chake_Chake_town,_Pemba,_Tanzania.JPG
 
mh. hata mimi naogopa! baba si Maalim ni Muchemsho ah samahani Muamsho?
 
napenda kuwaambia waache frustration. Wanapotaka kufanya jambo wajaribu kufanya wakat wametuliza ubongo ndipo watafanya jambo lenye manufaa kwao na kwa wananchi. Nadhan M4C ndio inawanyima usingiz kwa namna wanavyoona ikifanikiwa sasa nawao wanatoka kivyao. Pole yao
 
Hata TANU ilitumiaga huo msemo! Ubora wa chama hutambuliwa kwa sera sio misemo, nyie ndo huwa mnachagua kanga kwa mipasho yake badala ya ubora wake? Mnajua maana ya Umkotho wa swize??
 
Lakini ni kujua kuwa UMKOTHO WA SWIZE Uliwanufaisha kwa kuutumia? AU ULIWAMALIZA BILA MAFANIKIO; Mpaka

MKUTANO WA AMANI BILA WA SIZWE TANU YEAH ilitumia Majina ya SHAMRA SHAMRA; lakini UHURU haukupatikana kwa

NJIA HIZO...
 
Bnafsi sioni haja ya CUF kuangaika,inabidi waendelee na kazi yao kutekeleza ILAN ya CCM,wao nichama tawala.
 
napenda kuwaambia waache frustration. Wanapotaka kufanya jambo wajaribu kufanya wakat wametuliza ubongo ndipo watafanya jambo lenye manufaa kwao na kwa wananchi. Nadhan M4C ndio inawanyima usingiz kwa namna wanavyoona ikifanikiwa sasa nawao wanatoka kivyao. Pole yao

m4c ki2 gani!
Usiwe bendera au kasuku hebu jaribu kuitizama kwa undani CDM na uifahamu historia yake!
 
Bnafsi sioni haja ya CUF kuangaika,inabidi waendelee na kazi yao kutekeleza ILAN ya CCM,wao nichama tawala.

Umenena vema mkuu.......nashangaa mke( CUF) kumwacha mume(CCM) chumbani na kuanza kutapatapa barabarani!
 
Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

Je hawakuwa na wataalam wa kuleta kauli mbiu yenye maana fasaha?

Mchakamchaka, Chinja chinja tupa , Mchakamchaka, chinja chinja tupa!
Alinselema alija, alinsema alija...

Mchakamchaka, Chinja chinja , Mchakamchaka, chinja

250px-Prof._Lipumba_(left)_and_Seif_Shariff_Hamad_(right)_in_their_victory_press_conference_after_the_by-elections,_19_May_2003,_Chake_Chake_town,_Pemba,_Tanzania.JPG

mkuu huyo jamaa wa upande wa kulia ndo yule ambae sasa anapigiwa saluti znz. du watu timetoka mbali. ndevu kapunguza cku hizi.
 
Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

Je hawakuwa na wataalam wa kuleta kauli mbiu yenye maana fasaha?

Mchakamchaka, Chinja chinja tupa , Mchakamchaka, chinja chinja tupa!
Alinselema alija, alinsema alija...

Mchakamchaka, Chinja chinja , Mchakamchaka, chinja

250px-Prof._Lipumba_(left)_and_Seif_Shariff_Hamad_(right)_in_their_victory_press_conference_after_the_by-elections,_19_May_2003,_Chake_Chake_town,_Pemba,_Tanzania.JPG

Imehaririwa kwa hisani ya CDM
 
8D6U9904.JPG Haka kachama hata sikaelewi, kanakurupuka tuu, au kanakumuka shuka kumekuacha.
 
Dha cuf mna vijimisemo ambavyo hata mtu kuvitamka anaona aibu vya zamani kweli muwe uptodate na vijana jamani.
 
m4c ki2 gani!
*Usiwe bendera au kasuku hebu jaribu kuitizama kwa undani CDM na uifahamu historia yake!
Historia *Kashaijua na ndo ka amua kuwa CDM,we kama una mafungamano na SISIKAF si mbaya.mki peana talaka utachagua pa kwenda
 
Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

Je hawakuwa na wataalam wa kuleta kauli mbiu yenye maana fasaha?

Mchakamchaka, Chinja chinja tupa , Mchakamchaka, chinja chinja tupa!
Alinselema alija, alinsema alija...

Mchakamchaka, Chinja chinja , Mchakamchaka, chinja

Nilisoma hii thread mapema nikapata shauku ya kujua nini kinaendelea? Katika tafuta tafuta nimeibukia hapa link
mchakamchaka nilipoisoma makala hii ndio nimepata mwanga kwa nini hiyo kauli ni kiboko ya CCM.
Nafikiri sasa tunaweza kufahamu kauli mbiu hiyo ina maana gani!!

Huo ndio ushindi wa kishindo wa Chama cha M...
 
Back
Top Bottom