GE2025 Chini ya rais Samia mapato ya korosho yaongezeka mara nne (4)

GE2025 Chini ya rais Samia mapato ya korosho yaongezeka mara nne (4)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cornestone

Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
20
Reaction score
5
Mwaka 2021 wakati Rais Samia anaingia madarakani, Uzalishaji wa korosho ulifikia Tani 216,907 zilizoiingizia Tanzania $181M sawa na TZS452.5bn.

Mwaka 2024/25 Tani 528,260 zilizalishwa na thamani yake ni $600M sawa na TZS 1.6Trilioni.

Chini ya Rais Samia Mapato haya ya Korosho yameongezeka mara nne (4) zaidi.

WAKULIMA OKTOBA TUNATIK

IMG-20250709-WA0051.jpg
 
View attachment 3399648
ila anaogopa

Uchaguzi Huru na wa Haki kwa kuweka sheria bora za Uchaguzi
 
Wapongezwe wakulima kwa kuamua kujikita kwenye kilimo hicho

CCM hainipi chakula, nachakalika kwa damu na jasho kutafuta kupitia nguvu alizonipa Mungu

Kwa nini isemwe nahitajika niwapende, niwape kura n.k

Wao ni wasimamizi tu wa kodi tunazolipa, na kwa wakati mwingi ndio wezi pia wa kodi hizo

Sihitaji kuambiwa niwapende muda gani na niwachukia muda gani,

Uhuru wangu mimi unaopaswa ccm waufanyie kazi, ni kutoa haki ya kura yangu iamue nani nampa

Hataki hayo, Jibu ni fupi tu

No reforms no election na sijisumbui kupoteza muda wangu kwenda kutaabika kupanga foleni kupigia kura mtu ambaye hata sikumpigia ilihali ninakazi kibao
 
Sasa mbona uchaguzi huru na wa haki unaogopwa na kuna mambo mazuri namna hii

No reform No Election
 
Kuongezeka kwa mapato bila uwiano sambamba wa kupungua ugumu wa maisha kitaa inaonyesha kuna Umbwe fulani mahali; bora hata mapato yapungue lakini maisha ya watu kitaa yawe bora

Baada ya JPM kuleta ukombozi wa bei ya korosho kuanzia mwaka 2015, wakulima wa korosho wameongeza bidii ya kupanua mashamba, kupanda mikorosho na kuihudumia kwa bidii
Hivyo kila mwaka kutakuwa na ongezeko kubwa la mavuno ya korosho
 
chini ya Rais Samia,

tanzania inashika nafasi 2 kwa kuzalishaji wa korosho Africa
tanzania iinashika nafasi ya 2 kwa uzalishaji wa mbaazi Duniani
tanzania inashika nafasi ya 1 Africa Mashariki kwa hifadhi ya chakula
 
Back
Top Bottom