Chinese Su-27 Warplane 'Intercepts' US Navy's P-8 Poseidon

Chinese Su-27 Warplane 'Intercepts' US Navy's P-8 Poseidon

Wanaogopa! Watasuguana huko huko kwao lakini hawasogelei anga la Marekani.

Mkuu, mara kwa mara Ndege za warusi huwa zinaenda anga la mbali ambalo rada za USA zinaziona na kuzi tishia kuzi intacept hasa kwenye ufukwe wa florida. Ndege hizo huwa zina kuwa na wanafunzi wa kijeshi wa ki russia wanakuwa kwenye masoma ya kurusha hizo bomber na kusoma international boundaries. Marekani huwa anachukia sana lakini hawezi kumshitaki, kwa kuwa huwa hawaingii kwenye anga la america lakini maeneo wanayopita ni kama jamaa kakaa ghorofani kwake alafu kuna mtu anaoga nyumbani kwake kwenye bafu lisilokuwa na paa. Sasa huyu wa ghorofani anauwezo wa kumchungulia akiwa huko huko nyumbani kwake.
Angalia hiyo link ni US wenyewe ndo wanasimulia. Mambo ya USAF ndo wanaweza pekeyao yanakwisha mkuu. Soma alama za nyakati.
Russian bombers increase flights near U.S. airspace
 
Wanaogopa! Watasuguana huko huko kwao lakini hawasogelei anga la Marekani.

Sipend mtu anaejifanya anajua kumbe hajui,kama wewe Kichuguu n juzijuzi tu hapa marekani alikua analalamika mrusi kufanyia mazoez kwenye mpaka wa anga yake..we unasema hawasogelei
 
Last edited by a moderator:
Sipend mtu anaejifanya anajua kumbe hajui,kama wewe Kichuguu n juzijuzi tu hapa marekani alikua analalamika mrusi kufanyia mazoez kwenye mpaka wa anga yake..we unasema hawasogelei

Ndugu Somji Juma, jitahidi uwe reasonable usipaparike na taaruifa nusus nususu. Urusi hawawezi kuingia kwenye anga la Marekani, lilolalamikiwa ni kuwa ndege za urusi zilikaribia anga la marekani huko Alaska mpakani na Urusi, siyo kuwa ndege za urusi zilikuja ndani ya anga la Marekani bara; tena hata huko Alasaka waliendelea kutumia anga la kimataifa siyo la Marekani, Soma hapa. Russia inajua wazi kuwa kuna ballistic missle system ya marekani iliyo active kwenye eneo la pacific; ndiyo maana aliliamika sana Marekani walipotaka kuweka system hiyo Poland.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, mara kwa mara Ndege za warusi huwa zinaenda anga la mbali ambalo rada za USA zinaziona na kuzi tishia kuzi intacept hasa kwenye ufukwe wa florida. Ndege hizo huwa zina kuwa na wanafunzi wa kijeshi wa ki russia wanakuwa kwenye masoma ya kurusha hizo bomber na kusoma international boundaries. Marekani huwa anachukia sana lakini hawezi kumshitaki, kwa kuwa huwa hawaingii kwenye anga la america lakini maeneo wanayopita ni kama jamaa kakaa ghorofani kwake alafu kuna mtu anaoga nyumbani kwake kwenye bafu lisilokuwa na paa. Sasa huyu wa ghorofani anauwezo wa kumchungulia akiwa huko huko nyumbani kwake.
Angalia hiyo link ni US wenyewe ndo wanasimulia. Mambo ya USAF ndo wanaweza pekeyao yanakwisha mkuu. Soma alama za nyakati.
Russian bombers increase flights near U.S. airspace

Soma post niliyomjibu mwingine hapo juu; ndege za urusi hazijawahi kukaribia continental US airspace. Madai ya ndege za urusi kuruka juu ya anga la Florida ni exaggeration kavu sana labda wewe unaota submarine za mwaka 1962 huko Cuba
 
Inaonekana wachangiaji wengi humu mna chuki binafsi dhidi ya US simply because ni mshirika wa Israeli.
You are missing the point.
Leo ndege za Kenya au Rwanda zikiingia na kufanya mazoezi karibu na Mwanza utachekelea tu?
 
Soma post niliyomjibu mwingine hapo juu; ndege za urusi hazijawahi kukaribia continental US airspace. Madai ya ndege za urusi kuruka juu ya anga la Florida ni exaggeration kavu sana labda wewe unaota submarine za mwaka 1962 huko Cuba

Basi mkuu, hiyo link nilioiweka unaona ni exaggeration? ok basi ngoja tufuate wewe unachoona si exaggeration. Enjoy JF
 
Basi mkuu, hiyo link nilioiweka unaona ni exaggeration? ok basi ngoja tufuate wewe unachoona si exaggeration. Enjoy JF

Hiyo link uliyoweka inayoleta haikuandika kuwa ndege za urusi zimeonekana kwenye anga la Florida, na wala haijasema kuwa ndege za urusi zilionekana kwenye anga la Marekani bali ilisema kuwa zimekuwa zinakaribia anga la marekani kwenye mpaka wa urusi na Marekani huko Alasaka.

[h=1]Russian bombers increase flights near U.S. airspace[/h]


Eneo la Alaska liko karibu sana na Urusi huko Kanada wala haliungani na Continental US; hili lilikuwa malia ya Urusi hadi mwaka 1867 liliponunuliwa na serikali ya Marekani. Eneo la bahari baina ya Alasaka na Urusi huwa linatumia na ndege za kijeshi za pande zote mbili, yaani urusi na Marekani ingawa urusi ndio hutumia sana eneo hilo kwa vile hawana sehemu kubwa ya kufanyia mazoezi yao ukilinganisha na Marekani. Ukisoma hiyo link yako vizuri utaelewa kuwa conclusion yako hailingani kabisa na ripoti iliyomo kwenye linki hiyo.

Sina haja ya kuamaini kuwa ama hujui jiografia ya marekani au hujui huelewi yaliyoandikwa kwenye linki hiyo.
 
First of all ur
point is baseless may be u should stick to the point.Listen my dear,No
countries would like another country flying surveillance around their
air boundaries... u think US allowed other countries to do it?
Just kind of irritating & provocative action by the arrogant US.
After all China was conducting "routine identification and verification"
flights.
.

muandikie kwa kiswahili lugha ya malkia itamsumbua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom