China's Plan for Powerful Naval Fleets Hit By Budget Squeeze. Blame Trump

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,730
Reaction score
47,006
Naona China anaugulia maumivu ya Trade War Moyoni.
Screenshot_20190808-125459.jpeg
Screenshot_20190808-125517.jpeg
Screenshot_20190808-125557.jpeg
Screenshot_20190808-125615.jpeg
 
Hivi mpaka Tanzania tuweze kumiliki hiyo carrier itakua mwaka gani?
Bro ww ndio unaweza kua mtanzania wapili baada ya mm kuaza hilo jambo

Watanzania wao wakilala nakuamka wanawaza siasa 2 asee

Bado 2nasafar ndefu sanaaaa
 
Labda tu nikuambie kuwa, Jana Us wamesema wamewashtukia China kuwa wanaishusha sarafu yao kwa makusudi ili MASLAHI yao ya kibiashara na kiuchumi yazidi kukua, Jambo ambalo linaipa wasiwasi marekani kuwa huenda uchumi wa China ukazidi kukua, na marekani kwa sasa inasema haitakubali hela ya China ushuke thamani coz itakua ni pigo kwa US, hapo tu inaonyeshea jinsi gani amerika anavyotapatapa
 
Ukimaliza kutoka kwenye hiyo ndoto utuambie
 
Endelea kupinga, wakati hio imetokea juzi tu, kina tramp wanapiga kelele huko China kushusha hela yao, wanasema kushusha hela yao China wameshtukia kama ni silaha ya kibiashara ambayo itakua na madhara makubwa, tatizo lenu mnapinga hamsomi ata Habari za wakuu wenu wa BBC na CNN, fuatilieni Habari ndio mje mpinge [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimaliza kutoka kwenye hiyo ndoto utuambie
Screenshot_20190809_013154_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20190809_013122_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20190809_013047_com.android.chrome.jpeg
 
Jamaa wanapenda kupinga kibongobongo bila ya fact Mr Omary, wanadhani watu wanaongea humu kama ushabiki wa kimaskani vile, Hao China kushusha au kupandisha Sarafu yao Dunia nzima itakua na adhari, wanaakili sana na ni wajanja, apo kwa ufupi inamaana kuwa wakishusha sarafu yao vitu bidhaa zao zitakuja rahisi, ulimwengu mzima utaenda kununua bidhaa za kichina, kitu ambacho Marekani hakipendi kitokee, ndio maana juzi Tramp kaanza kulialia na kakiri kuwa China ni wajanja sana wa kibiashara
Akikujibu nitag...
 
Currency devaluation haiwezi kuipa China manufaa peke yake kwa kuwa hata nao wana-import vitu vingi tu. Cost of production itapanda pia kwa kuwa watahitaji yuan nyingi zaidi kununua dola kulipia imports.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hayo sio mm niliosema ni Dr. Tramp analalamika, sasa kama ww unampinga Tramp kuwa kwa situation alioichukua China a.k.a VIMACHO kuwa haiwezi kuipa manufaa China basi sawa mkuu

Ni simple logic. Kuna limit ya kufanya devaluation. USA hawajaanza leo kufanya hicho unachokiita "kulalamika" kuhusu China kufanya currency manipulation. Hata Clinton alifanya same thing. Hiyo huwa ni hatua ya kuomba kibali cha bunge kuchukua hatua ambazo Rais wao hana mamlaka kufanya.
 
Currency devaluation haiwezi kuipa China manufaa peke yake kwa kuwa hata nao wana-import vitu vingi tu. Cost of production itapanda pia kwa kuwa watahitaji yuan nyingi zaidi kununua dola kulipia imports.

na nia yano ni ku-discourage import.
 
Nacheka coz anachekesha, anaona kama ni mm nimetoa maoni yangu kama yy bila ya fact, mm nimempa mpaka chanzo ya hizo habari apo juu, ila wabongo kwa kujifanya wanajua banaaaaa
Mkuu huongei fact zaidi yakuchekacheka tu.
 
Back
Top Bottom