Jamani tunasema kuwa traffic jam za Dar na Nairobi zatisha ila hii ya Uchina imefinika, ni siku ya tisa jam imefikia km 100 sawa na kama mile 66. Inatisha
Si kitu kabisa! 100 km kidogo. Kenya waliweza km sijui ngapi wakati wa El Nino kati ya Mombasa na Nairobi. Wafaransa walipima kilomita 176 mwaka 1980 tazama hapa WikiAnswers - Where was the Longest traffic jam
I'm sure they'll report 2 work 20 days or a month later, halafu wapewe mshahara warudi nyumbani. Good life over there.
Wonder if they go for lunch, dinner then back 2 the cars.
Si kitu kabisa! 100 km kidogo. Kenya waliweza km sijui ngapi wakati wa El Nino kati ya Mombasa na Nairobi. Wafaransa walipima kilomita 176 mwaka 1980 tazama hapa WikiAnswers - Where was the Longest traffic jam
Best katika link hiyo sijaona KENYA ila nadhani ile ya Nai to Mombasa haikuwa msongamano wa magari bali ni ule ubovu tu wa barabara ndo ulisababisha magari yachelewe lakini haukuwapo msongamano LABDA kama unaongelea Mombasa road ule msongamano wa kila siku wa kuanzia Jomo Kenyatta International airport hadi town na hapa ni kama km 4 au tano tu na huwa ni wakati wa zile peak hours siyo muda wote!