CHINA'S NEXT SUPERPOWER,China wows world with engineering

Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
46
BEIJING - The country surprised the world with its engineering and technical feats in 2010, when it completed several monumental projects high in the sky, deep in the seas and in-between.
China last year completed 15 successful space launches, including that of its second lunar probe, Chang'e-2, which will determine a site for the country's first unmanned moon landing around 2013.

0023ae6962090e8ca3e22d.jpg
The Long March launch vehicles also sent five Beidou navigation satellites into orbit. The launches were part of the country's plan to have 12 Beidou navigation satellites form a network covering the Asia-Pacific region before 2012. The system will have 35 navigation satellites by 2020, when it will rival the United States' Global Positioning System.
On the ground, China became a strong player in the global high-speed railway industry in 2010 by innovating upon technologies previously imported from Germany, France and Japan.
The Ministry of Railways announced the nation's high-speed railway network last year reached 7,531 km, becoming longer than any other countries'.
The network's top service speed became the world's fastest at 380 kilometers an hour since the Shanghai-Hangzhou high-speed railway opened in October.
It set new operation speed records twice in 2010.
In September, a China-made fast train reached 416.6 km an hour on the Shanghai-Hangzhou high-speed railway. Two months later, a train on the 1,318-km-long Beijing-Shanghai high-speed railway beat that record by reaching 486.1 km an hour.
Sources with CSR Corp Ltd, a major domestic train manufacturer, said in December that an experimental train is being developed that would challenge the 574.8 km an hour speed traveled by a specially configured version of France's TGV in 2007.
The country also made great achievements in the deep sea, becoming the fifth country to develop deep-diving technology capable of going beyond the 3,500-meter mark.
The domestically developed submersible Jiaolong planted a Chinese flag on the bottom of the South China Sea during a 3,759-meter-deep dive in July.
The vessel, designed to reach a depth of 7,000 meters and operate in most of the planet's oceans, is considered the world's only manned submersible that can theoretically reach those depths. Japan's Shinkai 6500 can dive for 6,500 meters. The other three countries with deep-diving technology are the United States, France and Russia.
And 2010 was the year China overtook the United States in developing the fastest supercomputer.
The Tianhe-1A can perform 2,507 trillion calculations a second and is 29 million times faster than the earliest supercomputers.
In addition, the water level of the largest hydroelectric project, the Three Gorges Dam, had increased to 175 meters as of October 2010, enabling it to generate electricity at maximum capacity.
The slew of mega-projects were made possible by the country's mammoth spending on research and development.
According to the Paris-based Organization for Economic Cooperation and Development (OECD), China's investment in innovation nearly doubled from 34 billion euros ($44.56 billion) in 2006 to 65.7 billion euros in 2009.
The country's spending on innovation is now growing at 25.5 percent a year, compared to a fall of 4 percent in the US in 2009. Growth in major European economies, such as Germany and France, has remained in the single figures.
Even greater sums have been poured into infrastructure development. An estimated 700 billion yuan ($105 billion) was the budget for high-speed railway construction in 2010, Ministry of Railways Chief Engineer He Huawu said.
But the breakthroughs are not merely the result of increased funding.
China has over the past few years transformed from a country that imported technologies to one that leads in innovation. It is now competing for overseas high-speed railway projects - even in the US, which leads the world in freight railway technology but has almost no high-speed rail expertise.
"That's a mark of how well and quickly the technology has been adopted by Chinese companies, who have traditionally only been able to compete on price in bidding for railway and other basic infrastructure projects in the developing world," the Associated Press reported.
The Ministry of Railways started out with the strategy of "innovating on the basis of imported technologies to form our own system", He, with the ministry, had said earlier.
0023ae6962090e8ca4152e.jpg
The ministry had filed 947 patent applications in the country by March 2010 and had also started filing applications for intellectual property rights abroad.
Wang Mengshu, professor at the Research Center of Tunnel and Underground Engineering at Beijing Jiaotong University and a member of the Chinese Academy of Engineering, believed: "China has the most advanced high-speed railway technology."
The ministry's plans called for the country's railways to extend for more than 120,000 km by 2020. About 16,000 km will come from new high-speed rail construction.
China has launched three manned spaceships and two unmanned lunar orbiters in recent years. It aims to build a space station by 2020, and will launch two spacecraft - Tiangong-1 and Shenzhou VIII - in 2011 to test its docking technology.
Sun Jiadong, the Beidou program's chief designer, said in an earlier interview: "The rise of China as a big economy and the advancement of technology have laid the foundation for us to pursue progress in aerospace technology... It is important to find our own exploration path based on China's own situation."
Andrew Moody and Tan Zongyang contributed to this story.
 
The successes so far are the beginning of things to come. Continue to invest more in R & D to harvest the intelligence and ability of the people and to become leader in science and technology in time to come!

Go China Go!
 
haya mafanikio ni kutokana na sera nzuri..uadilifu coz ukiiba hata centi ya umma ni kunyongwa tu, hakuna mjadala tofauti na tz..shamba la bibi...plus kaudikteta kidogo.... Hii ni kwa maslahi ya wengi...kuinvest kwenye education....kujali culture zao....safii sana. Je tz lini tutafika china waliko sasa ka still tuko kwenye top ten ya nchi fukara zaidi duniani....piga chini chama cha wachakachuaji coz wao ndo source.....shame on them.
 
Hebu mwenye takwimu za BAJETI YA R&D kwa serikali yetu atujuze,huenda posho za waheshimiwa na samani zao zimeizidi hiyo bajeti ya R&D
 
You are absolutely right, kwa sisi tunweza kuendelea kusikia tu wenzetu wakiendela maana tumeendeleza sana UZEMBE, UFISADI, KUKOSA UZALENDO..etc..
haya mafanikio ni kutokana na sera nzuri..uadilifu coz ukiiba hata centi ya umma ni kunyongwa tu, hakuna mjadala tofauti na tz..shamba la bibi...plus kaudikteta kidogo.... Hii ni kwa maslahi ya wengi...kuinvest kwenye education....kujali culture zao....safii sana. Je tz lini tutafika china waliko sasa ka still tuko kwenye top ten ya nchi fukara zaidi duniani....piga chini chama cha wachakachuaji coz wao ndo source.....shame on them.
 
Avocado mimi sitaki wala kuziona hizo takwimu maana zitaniongezea pressure tu zaidi.
Hii nchi inaongozwa na watu vipofu sijawahi kuona, yaani matumizi ya serilakali yanakuwa ni makubwa zaidi ya matumizi ya maendeleo?
Hebu mwenye takwimu za BAJETI YA R&D kwa serikali yetu atujuze,huenda posho za waheshimiwa na samani zao zimeizidi hiyo bajeti ya R&D
 
If recollect correctly it was around 30bn TZS kwenye 2010/2011 budget! I stand to be corrected.
 
..kuna masikini wengi sana China.

..serikali yao inaweza kuwa superpower lakini wananchi wake wengi wanaishi maisha ya taabu.

..ndiyo maana mnaona wa kichina hapa kwetu.

..China sasa hivi hawajali masuala ya environment, hawajali haki za wafanyakazi--kuna sweat shops kibao, hawajali haki za binaadam etc etc
 
Kweli mkuu kwa standards bado wako chini na maisha ya watu wengi ni below standards.Kwa population yao itachukua muda kwa raia wengi kuwa katika middle social class.
 
..kuna masikini wengi sana china.

..serikali yao inaweza kuwa superpower lakini wananchi wake wengi wanaishi maisha ya taabu.

..ndiyo maana mnaona wa kichina hapa kwetu.

..china sasa hivi hawajali masuala ya environment, hawajali haki za wafanyakazi--kuna sweat shops kibao, hawajali haki za binaadam etc etc

joka kuu,
nchi kuwa supapawa sio kwamba haina wanachi maskini
takwimu zinaonyesha kuwa marekani ambayo ndiyo supapawa kwa sasa ina masikini ambao ni 13-17% sasa ukiangalia population ya us, utaona wana watu masikini wengi sana. Takwimu za 2008, source wikipedia
 
Yes, let China go!!! Hawa jamaa wanastahili kupata maendeleo maana wanajituma.
- Kuhusu suala la umaskini ni kweli upo lakini si kwa kiasi wengi wanachotaka kukieleza. Ukiwa tanzania tajiri anayesifika sana katika wilaya za mikoani anaweza kuwa na utajiri wa milioni 300 na akaunti benki kama milioni 50. Huyo akija China atajiona ni maskini sana (compare uone tofauti za kimaisha).
- Hivi sasa China inaendesha mabadiliko makubwa sana katika mifumo ya utunzaji wa mazingira. Mfano mwaka 2003 walikuwa wanatumia makaa ya mawe kuchemsha maji kwa ajiri ya winter (boiler) baadae wakatumia umeme na mionzi ya jua kati ya 2005 -10 na sasa hivi wanatumia natural gas (kati ya 2009 - now) ambayo ni rafiki wa mazingira. Natural gas wanaitumia kwa kuingiza joto kwenye nyumba kwa kuchoma floor (au kuipa joto floor na kuta ... inaitwa 地热 。
- China inafanya mabadiliko makubwa sana ya kimuundo na kijamii. Soma taarifa ya wanafunzi katika vyuo vikuu vya marekani - wengi ni wachina wanaoandaliwa kuongoza nchi yao. Wanasomesha about 40% ya wanafunzi wa Ph.D na post doc walioko marekani. Hayo ni maandalizi ya kuwa superpower!!

Vilevile Wachina kuwa Bongo si kuwa ni maskini ila ni kuchangamkia fursa za kibiashara. Hakuna nchi nzuri kama Bongo. Unaweza kuondoka na USD 500,000 Cash uwanja wa ndege bila kuulizwa. They like it!!!!
Kitu cha msingi ni tujifunze kutoka kwa Wachina na bila kusahau kuwa hatuwezi kujenga nchi bila sacrifice (lazima wawepo minority watakao umia hivyo haki za binadamu/wafanyakazi na ujezi wa taifa ni lazima vitofautishwe).
 
Mkubwa magafu cjaona pakukugongea Thank u, watu wana changanywa na kelele za maghalibi. Hakuna vita isiyo na 'collateral damegi'. Maendeleo ya viwanda maanayake ni nafasi za kazi zinaongezeka. Hao marekani cndio waligoma kusaini mkataba wa kupungu taka toka viwandani ili kupunga global warming? Ama alikuwa china?
 
China wanastahili sana pongezi. Na ole wako mwanafunzi ufeli china. Hapa kwetu kufeli ni kama ada. Matokeo ya shule zetu za msingi yanatisha. Mbaya zaidi HISABATI tunafeli kupita kiasi wakati HISABATI ndiyo msingi wa kuwa Mwanasayansi bora.
 
Ahsante kwa taarifa hizo maana watu wanadhani kuwa USA hakuna watu masikini, na hizo taarifa ni za 2008, je wanajua hii miaka miwili mambo yalivyobadilika na kuwa mabaya zaidi? J ewanajua kuwa kuna wananchi kibao tu walishakosa kazi kwa sasa hata msosi ni kazi?
Nenda ujerumani pia utaona maisha yalivyomagumu
joka kuu,
nchi kuwa supapawa sio kwamba haina wanachi maskini
takwimu zinaonyesha kuwa marekani ambayo ndiyo supapawa kwa sasa ina masikini ambao ni 13-17% sasa ukiangalia population ya us, utaona wana watu masikini wengi sana. Takwimu za 2008, source wikipedia
 
kutokufeli sio kwa wanafunzi tu bali hata kwa wafanya kazi wengine, mfano Engineer hatakiwi kufanya makosa kama likitokea kosa lolote katika ujenzi ya reli/ barabara nilazima wakukaange tu. Wako serious sana ndio maana wanaendelea.
China wanastahili sana pongezi. Na ole wako mwanafunzi ufeli china. Hapa kwetu kufeli ni kama ada. Matokeo ya shule zetu za msingi yanatisha. Mbaya zaidi HISABATI tunafeli kupita kiasi wakati HISABATI ndiyo msingi wa kuwa Mwanasayansi bora.
 
Industry News :China is eager for a role in California high-speed rail project
California may look for outside expertise and financing for its planned $43 billion, 800-mile high-speed rail system that will take shape over the next decade. Chinese firms are likely to be among the top contenders for state contracts to provide a range of technology and know-how for the project. Chinese companies have a leg up over competitors from France, Germany and elsewhere thanks to strong government support and experience building the nation's own expansive high-speed network.
 
Ni hao USA ndio walikataa kusaini, lakini China imeshakubali na kwa sasa imeshawekeza mabilioni ya pesa kwenye mazingira, jamaa hawana mchezo.
Mkubwa magafu cjaona pakukugongea Thank u, watu wana changanywa na kelele za maghalibi. Hakuna vita isiyo na 'collateral damegi'. Maendeleo ya viwanda maanayake ni nafasi za kazi zinaongezeka. Hao marekani cndio waligoma kusaini mkataba wa kupungu taka toka viwandani ili kupunga global warming? Ama alikuwa china?
 
thanks for ur ellaborative details.
Yes, let China go!!! Hawa jamaa wanastahili kupata maendeleo maana wanajituma.
- Kuhusu suala la umaskini ni kweli upo lakini si kwa kiasi wengi wanachotaka kukieleza. Ukiwa tanzania tajiri anayesifika sana katika wilaya za mikoani anaweza kuwa na utajiri wa milioni 300 na akaunti benki kama milioni 50. Huyo akija China atajiona ni maskini sana (compare uone tofauti za kimaisha).
- Hivi sasa China inaendesha mabadiliko makubwa sana katika mifumo ya utunzaji wa mazingira. Mfano mwaka 2003 walikuwa wanatumia makaa ya mawe kuchemsha maji kwa ajiri ya winter (boiler) baadae wakatumia umeme na mionzi ya jua kati ya 2005 -10 na sasa hivi wanatumia natural gas (kati ya 2009 - now) ambayo ni rafiki wa mazingira. Natural gas wanaitumia kwa kuingiza joto kwenye nyumba kwa kuchoma floor (au kuipa joto floor na kuta ... inaitwa 地热 。
- China inafanya mabadiliko makubwa sana ya kimuundo na kijamii. Soma taarifa ya wanafunzi katika vyuo vikuu vya marekani - wengi ni wachina wanaoandaliwa kuongoza nchi yao. Wanasomesha about 40% ya wanafunzi wa Ph.D na post doc walioko marekani. Hayo ni maandalizi ya kuwa superpower!!

Vilevile Wachina kuwa Bongo si kuwa ni maskini ila ni kuchangamkia fursa za kibiashara. Hakuna nchi nzuri kama Bongo. Unaweza kuondoka na USD 500,000 Cash uwanja wa ndege bila kuulizwa. They like it!!!!
Kitu cha msingi ni tujifunze kutoka kwa Wachina na bila kusahau kuwa hatuwezi kujenga nchi bila sacrifice (lazima wawepo minority watakao umia hivyo haki za binadamu/wafanyakazi na ujezi wa taifa ni lazima vitofautishwe).
 
China eyes California's high-speed rail system

In the 19th century, laborers from China helped build railroads spanning California and linking the U.S. coasts.
In the 21st century, the Chinese may be back -- not for backbreaking labor, but with financial and technological muscle.
The People's Republic of China has more miles of track for high-speed trains than any country in the world, while California has none. But the Chinese want in on the state's fledgling high-speed rail project. They're eager to help bankroll and build the system and, eventually, provide the trains to operate on the tracks.

unachokiongea unakijua kweli? maisha ya mtu wa kawaida tu mchina huwezi kulinganisha na tz hata kidogo. j e unajua kumiliki nyumba China ni kiasi gani? na huo sio ujenzi bali ni just buying an apartment, ni mamilioni ya ya dola, pesa ambazo ukioewa tz unakuwa miongoni wa mafisadi wetu, sasa hapo ni ununuzi tu wa pango. Mchina wa middle class akienda tu dinner ni kawaida kutumia walau yuan 500 ambayo ni kama lakinnzima ya tz.
Ni kweli kuna watu mamsikini kitu amabcho kipo kila nchi hata USA,GERMANY,UK etc. Tunachokiongea hapa ni kujaribu kulinganisha hawa jamaa haya maendeleo wameyapata ndani ya miaka 30 tu, je sisi amabo sasa ni miaka 50 tuko wapi? tunanini hata cha kujivunia ikiwa hata tooth stick tunaagiza toka nje ya nchi?
Kweli mkuu kwa standards bado wako chini na maisha ya watu wengi ni below standards.Kwa population yao itachukua muda kwa raia wengi kuwa katika middle social class.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom