China yatoa tahadhali

China yatoa tahadhali

Watanzania mnashabikia Vita. Na USA & Europe Ndio wasaidizi wetu ktk bajeti. Ivi nyinyi vijana ambao umri wenu mdogo mnalijua ilo kwamba USA & Europe. Ndio wasaidizi wetu. Au mnakuwa kama waukraine walivyokuwa wanakimbia na mbwa. Baadae MTU anamtupilia mbali. Wengine wamekimbia wameaacha wake zao na watoto. Acheni ushabiki maaandazi
Hatuwezi kujivunia misaada. Ni heri ikatike TUANZE UPYA WENYEWE bila misaada.

Na tunafahamu gharama za kufikia hayo, si jasho tupu bali damu pia.

KWA HESHIMA NA UKUU WA VIZAZI VYETU VIJAVYO, SISI NI NINI MPAKA TUOGOPE KUPITA?
 
Cheki kichwa andazi huyu unawaza misaada tu, wwe kweli mwanaume?? Mwanaume gani unawaza kusaidiwa wewe bila shaka upo tayari mke wako aliwe ili upate msaada.

Kama taifa bado tuna wakati mgum kama ndo akili za vijana ndo hizi kazi ipo.
Umenisaidia kumjibu nilitaka kumjibu hivi
 
Hatuwezi kujivunia misaada. Ni heri ikatike TUANZE UPYA WENYEWE bila misaada.

Na tunafahamu gharama za kufikia hayo, si jasho tupu bali damu pia.

KWA HESHIMA NA UKUU WA VIZAZI VYETU VIJAVYO, SISI NI NINI MPAKA TUOGOPE KUPITA?
Una akili Sana. WAAFRIKA [ WATANZANIA ] Tuna tamani kwenda mbinguni lakini tunaogopa kufa. Haiwezekani tunapenda kuwa Kama U.S.A, Russia, China, Ulaya, Korea ya Kusini, Japan , Singapore n.k katika maendeleo na uchumi lakini hatutaki kujitoa kafara ili matunda ya jasho na damu zetu wafaidi wajukuu zetu. Hakuna maendeleo yanayo kuja kwa kubembelezana ni lazima jasho na damu zitoke ili zilete maendeleo Kuna watu ni lazima wawe kafara wa hayo maendeleo wapumbavu na wajinga hawapaswi kuchekewa katika nchi na bara letu kwa sababu wao ni Kikwazo Cha maendeleo . Leo hii Korea, Singapore,china, Russia, U.S.A,Ulaya ,Japan wapo vile mababu zao walivuja jasho na damu zilimwagika ili mataifa yao yawe pale . Hatupaswi kuendelea kuchekeana hata kidogo. Hakuna mahali kokote duniani maendeleo yanakuja kwa mtindo wa kazi na kula bata hakuna hiki kitu. Lazima Kama sisi tulio hai tuyalipie maendeleo kwa njia ya jasho na damu ili wajukuu zetu wajue ni gharama gani zinetumika kuyapata maendeleo hayo na hakika wataya tunza Kama mboni ya jicho lao. WAAFRIKA ni wavivu na pia wajinga wapo wengi sana Afrika ukiwachekea na kuwabembeleza watu wa namna hii hakika maendeleo utaendelea kuyasikia ng'ambo. WAAFRIKA wanapaswa wasichekewe wala kubembelezwa lazima watumikishwe Kama punda ili gharama halisi ya maendeleo waifahamu. Tazama namna viwanda vya kichina vilivyopo Tanzania vinavyoendeshwa na wachina dhidi ya WATANZANIA hivyo ndivyo inavyotakiwa kumfanyia mtu mvivu[ Mwaafrika ] kuonesha gharama halisi ya maendeleo ambayo mlipitia ninyi kwenye tawala zenye wakati wa kupata maendeleo na wachina wanatuonesha gharama halisi ya maendeleo waliyo pitia wao kwenye tawala zao mpaka wakafikia pale lakini sisi tunaona Kama wanatutesa na kutuonea wakati sivyo. Siku zote maendeleo ya nchi Yana gharama na Kama kweli unayataka Basi ni lazima uwe tayari kuzipitia hizo gharama[ jasho jingi na damu nyingi kwa wapumbavu na wajinga ].
 
Umenena yaliyo Makuu Mkuu.

Ni kosa kubwa sana Fikra na Mifumo Yetu inafanya ya kuacha huru Wapumbavu kuchagua kuishi Upumbavu wao. Hilo ndio Anguko letu.

Wapumbavu wanahitaji VIFUNGO vya kutoishi Upumbavu wao, Bali washurutishwe kuwajibikia nafasi zao kwa jamii zao.
 
HAKIKA
 
Una akili Sana. WAAFRIKA [ WATANZANIA ] Tuna tamani kwenda mbinguni lakini tunaogopa kufa. Haiwezekani tunapenda kuwa Kama U.S.A, Russia, China, Ulaya, Korea ya Kusini, Japan , Singapore n.k katika maendeleo na uchumi lakini hatutaki kujitoa kafara ili matunda ya jasho na damu zetu wafaidi wajukuu zetu. Hakuna maendeleo yanayo kuja kwa kubembelezana ni lazima jasho na damu zitoke ili zilete maendeleo Kuna watu ni lazima wawe kafara wa hayo maendeleo wapumbavu na wajinga hawapaswi kuchekewa katika nchi na bara letu kwa sababu wao ni Kikwazo Cha maendeleo . Leo hii Korea, Singapore,china, Russia, U.S.A,Ulaya ,Japan wapo vile mababu zao walivuja jasho na damu zilimwagika ili mataifa yao yawe pale . Hatupaswi kuendelea kuchekeana hata kidogo. Hakuna mahali kokote duniani maendeleo yanakuja kwa mtindo wa kazi na kula bata hakuna hiki kitu. Lazima Kama sisi tulio hai tuyalipie maendeleo kwa njia ya jasho na damu ili wajukuu zetu wajue ni gharama gani zinetumika kuyapata maendeleo hayo na hakika wataya tunza Kama mboni ya jicho lao. WAAFRIKA ni wavivu na pia wajinga wapo wengi sana Afrika ukiwachekea na kuwabembeleza watu wa namna hii hakika maendeleo utaendelea kuyasikia ng'ambo. WAAFRIKA wanapaswa wasichekewe wala kubembelezwa lazima watumikishwe Kama punda ili gharama halisi ya maendeleo waifahamu. Tazama namna viwanda vya kichina vilivyopo Tanzania vinavyoendeshwa na wachina dhidi ya WATANZANIA hivyo ndivyo inavyotakiwa kumfanyia mtu mvivu[ Mwaafrika ] kuonesha gharama halisi ya maendeleo ambayo mlipitia ninyi kwenye tawala zenye wakati wa kupata maendeleo na wachina wanatuonesha gharama halisi ya maendeleo waliyo pitia wao kwenye tawala zao mpaka wakafikia pale lakini sisi tunaona Kama wanatutesa na kutuonea wakati sivyo. Siku zote maendeleo ya nchi Yana gharama na Kama kweli unayataka Basi ni lazima uwe tayari kuzipitia hizo gharama[ jasho jingi na damu nyingi kwa wapumbavu na wajinga ].
Kweli kabisa huo unaakisi jina lako la ujamaa. Kaz kaz hakuna kubembelezana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Moderator asafali/tafadhali/tahadhari nk

Naomba usaidie kubadili title ya mwamba... Nashindwa kujua anatoka mkoa gani.

Yote heri cha muhimu ujumbe umefika.

Shout out to team Putin wa Manzese
Timu Putin ni ya St.Pirtusberg na sio manzese,buza wala yombo ndugu,ila timu beberu imetapakaa kote huko nawakiwa hoi bin taaban🤔
 
Cheki kichwa andazi huyu unawaza misaada tu, wwe kweli mwanaume?? Mwanaume gani unawaza kusaidiwa wewe bila shaka upo tayari mke wako aliwe ili upate msaada.

Kama taifa bado tuna wakati mgum kama ndo akili za vijana ndo hizi kazi ipo.
Wewe Kenge. Izo dawa za ukimwi unapata kutoka USA na bado unashabikia Vita. Unafikiri Vita unakaaa kwy keyboard na kufanya. Huna ata punje ya akili Kenge ata njiti ya kiberiti uwezi kutengeneza unasubiri mabwana watengeneze, ukae kwy keyboard ushangilie vita. Wewe unakaaa kwa shemeji yako unaiona Tanzania kama Russia au Chin na wakati nchi yetu ya mwisho kabisa. Uko funguka akili kuikwepa misaada inaitaji watu kutoka kwa njia nzuri sio ghafla

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hatuwezi kujivunia misaada. Ni heri ikatike TUANZE UPYA WENYEWE bila misaada.

Na tunafahamu gharama za kufikia hayo, si jasho tupu bali damu pia.

KWA HESHIMA NA UKUU WA VIZAZI VYETU VIJAVYO, SISI NI NINI MPAKA TUOGOPE KUPITA?
Anawazawaza misaada,ukute wala hafaidiki nayo moja kwa moja na wala si mmoja wa wale walioambiwa wale kwa urefu wa kamba zao.Mimi naona wapigane tu,tukomae wenyewe,siyo misaadasaada hovyohovyo.
 
Wewe Kenge. Izo dawa za ukimwi unapata kutoka USA na bado unashabikia Vita. Unafikiri Vita unakaaa kwy keyboard na kufanya. Huna ata punje ya akili Kenge ata njiti ya kiberiti uwezi kutengeneza unasubiri mabwana watengeneze, ukae kwy keyboard ushangilie vita. Wewe unakaaa kwa shemeji yako unaiona Tanzania kama Russia au Chin na wakati nchi yetu ya mwisho kabisa. Uko funguka akili kuikwepa misaada inaitaji watu kutoka kwa njia nzuri sio ghafla

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app

We kiazi hizo dawa unapewa bure? Pole sana level niliyonayo kimaisha hata 1% hunifikii endelea kula ugali wa shikamoo hapo nyumbani. Kwa akili ulizonazo kama una dem bhs unachapiwa mwanaume upo radhi upakwe wese kisa misaada fala sana
 
Back
Top Bottom