China yashauri raia wake kutotembelea Australia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
China imetoa wito kwa raia wake kutosafiri nchini kuelekea nchini Australia ikisema kuna ubaguzi na vurugu dhidi ya raia wa Asia

Wizara ya Utamaduni na Utalii imesema Australia imekuwa na ongezeko la vitendo vya ubaguzi dhidi ya Wachina na watu kutoka Asia kwa ujumla kufuatia athari za mlipuko wa COVID19

Hii inakuja baada ya Australia kuunga mkono uchunguzi wa kimataifa ufanyike kubaini chanzo cha mlipuko wa Corona na hatua zilizochukuliwa kukabiliana nao

===

China has advised its citizens not to visit Australia, citing racial discrimination and violence against Asians during the coronavirus pandemic.

China has advised its citizens not to visit Australia, citing racial discrimination and violence against Asians during the coronavirus pandemic.

A notice issued by the Ministry of Culture and Tourism late on Friday said there had "been an increase in words and deeds of racial discrimination and acts of violence against Chinese and Asians in Australia, due to the impact of COVID-19 pandemic".

"The ministry advises Chinese tourists to raise their safety awareness and avoid travelling to Australia," the notice said.

The move comes after China threatened retaliation following Australia's decision to push for an international investigation into the origins of the coronavirus pandemic and responses to it.

Source: Al Jazeera
 
Yupo jamaaa yangu huko alikiwa anafanya kazi kwenye kiwanda cha uandaji nyama ya kondoo kwenda china wachina wamepunguza uagizaji ume waadhiri
 
Nawatahadharisha wazungu wasicheze na wachina, marekani mwenzao anatapatapa now so wasicheze na Mchina, China ni taifa kubwa na lenye nguvu ya kiuchumi now days
China mbona haijakataza raia wake kutembelea Marekani wakati Marekani ndio amekuwa akiisema kila mara kuwa Ni wao wamesababisha? Hadi kafikia hatua ya kuviitw Chinese virus na kuituhumu kuwa imetengeneza virusi,

Marekani si ndio kafukuza Hadi wanafunzi wa China nchini kwake?

Australia kafanya lipi kubwa la kuikwaza China zaidi ya Marekani?
 
Nivile watu hawajui kuwa china inaitegemea Sana marekani economically ndio maana Trump alitishia hata kuiwekea vikwazo
 
Biashara kati ya Marekani na China ni 500+ billion usd.

Biashara kati ya Afrika na China ni 200bill usd..

Marekani anaweza mdindishia Mchina atakavyo
China mbona haijakataza raia wake kutembelea Marekani wakati Marekani ndio amekuwa akiisema kila mara kuwa Ni wao wamesababisha? Hadi kafikia hatua ya kuviitw Chinese virus na kuituhumu kuwa imetengeneza virusi,

Marekani si ndio kafukuza Hadi wanafunzi wa China nchini kwake?

Australia kafanya lipi kubwa la kuikwaza China zaidi ya Marekani?
 
Kihistoria Tangu vita ya pili ya Dunia, kwa zile chokochoko za mjapan Australia iliwafurusha na kuwazuia raia wote wenye asili ya Asia kuishi nchini mwao. zipo shuhuda mbalimbali(Documentary) zinaonesha jinsi raia wenye asili ya Asia walivyowindwa na kupandishwa meli kwa lazima na kuwa deported.
So kwa hatua hii ya china sishangai ni kama kulipa machungu ya zama hizo, ila hivi karibuni Chinese investors wamekuwa wakinunua Ardhi sana Australia, na kabla ya hii kauli ya china PM wa Australia amepiga marufuku raia wa nje kununua Ardhi nchini mwake, hii kauli ya china imechochewa na mambo mengi siyo tu swala juu ya uchunguzi wa Covid-19.
 
Back
Top Bottom