#COVID19 China yasema mlipuko ya COVID-19 kugeuzwa kuwa siasa kutadhoofisha jitihada za kupambana nao

bila shaka maana nyie ndo mlianza kwa kula popo
Kulinganishwa na chanzo cha popo, ningeamini zaidi chanzo cha Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa wito wa Marekani kufungua maabara yake ili tujue wazi corona vinatoka wapi. Kwani Marekani haithubutu kufungua maabara?
 
China imethubutu kufungua maabara yetu, na wataalamu wa WHO wamefanya utafiti huko. Kwani Marekani bado?
 
Back
Top Bottom