China yaongeza bajeti yake ya Jeshi

China yaongeza bajeti yake ya Jeshi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,570
Reaction score
53,584
140811061645_cn_china_pla_tank_640x360_reuters.jpg

China inasema kuwa bajeti yake ya ulinzi itaongezeka kwa asilimia kumi mwaka huu.

Wanajeshi wake wanatarajiwa kupewa dola bilioni 145 na kuendelea na mfumo wa kuongeza bajeti ya jeshi ulioanza miaka 20 iliyopita.

Taifa la Marekani ndilo hutumia fedha nyingi zaidi kwa bajeti ya jeshi.

Akitoa tangazo hilo msemaji wa serikali Fu Ying alisema kuwa China imejifunza kutokana na historia.

Japan nayo iliongeza bajeti ya jeshi lake mwaka huu baada ya kuipunguza kwa miaka mitatu mfululizo.

China yaongeza bajeti yake ya Jeshi - BBC Swahili
 
Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja
 
Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja

ha ha ha ha ha ha ha!!!!
 
Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja

Hivi jeshi la kenya lilishapigana vita ya ki ukweli? ahhahha, wakienda kupigana wanaomba kitu kidogo kwa maadui......
Nchi ya kitu kidogooooooooo.
 
naona wamezinduka sasa.co mbaya TZ na wenzake watakua wamejifunza kitu hata wacpotangaza
 
Back
Top Bottom