China Yakataza Sherehe Za Krismasi

China Yakataza Sherehe Za Krismasi

Ukristo utapotezwa mkuu, ila uislamu ndio unazidi kunawiri kila kukicha.
Labda unanawiri mtaani kwenu lakini sio china mkuu. Hahahaha kumbe wewe ni mfia dini badala uweke hoja objectively unaongea kwa chuki. Kwa taarifa yako china inakoelekea haitatambua ukristo wala uislamu. Itafyekelea mbali wote
 
SIDHANI. Usicheze na Mambo ya imani mkuu,watawasumbua na kuwatesa lakini ipo siku watashindwa maana Ukristo na Uislamu unazidi kusambaa China,Kama watataka waendelee na umoja kama Nchi bhas hawana budi kukaa nao pamoja ila kuwatesa ni kama kutaka kutengeneza kundi ambalo litaona kama linanyanyaswa na wao watataka kupigania haki zao,hapo Sasa ndo Moto utakapowaka. Kumbuka hata Al shabab na Boko zilianzaga hivyohivyo
Wanao watesa ni kizazi fulani cha kale kitaondoka wataendelea na imani hizo kisha watazichoka na kuziacha. Hata hapa kwetu ukiwazuia watu kitu ndio wanakutaka, ukiwaacha nao wanakiacha.
 
Dini iliyoletwa na mzungu/Paulo na hao hao eti wanamuabudu huyo mungu mtu/yesu aliyesulubiwa msalabani, wachina wajanja sana hawataki ujinga,, wameshtukia wameona huu ni upumbavu tu, utamuabudu vipi binadamu mwenzio!! Soon itapotezwa hii dini.
Unataka aabudiwe allah asiye na nguvu ambaye eti hadi apiganiwe na wanadamu kwa kuua wanadamu wenzao. Very shameful.
 
Dini iliyoletwa na mzungu/Paulo na hao hao eti wanamuabudu huyo mungu mtu/yesu aliyesulubiwa msalabani, wachina wajanja sana hawataki ujinga,, wameshtukia wameona huu ni upumbavu tu, utamuabudu vipi binadamu mwenzio!! Soon itapotezwa hii dini.
Unafahamu kuwa China haitaki dini yoyote mpya kwao pia. Unafahamu kuna waislam wanashitakiwa kwa kufunga ramadhani?
 
Hao wananchi wachina ni Zaidi ya kuwa *******

Wana nchi mpo billion mnatishiwa na serkali ya watu mia tano ya Beijing ?
hahahaha mkuu unafikiri ni rahisi hivyo, mbona bongo maandamo ya UKUTA nafikiri yalikwama na wananchi wako wengi zaidi ya serikali
 
Hawa ndo marafiki zenu wakubwa!!? Muanze kujifunza dini yao vinginevyo kwa ukristo na uislamu wenu mtakuja kupigwa chini na hawa shoga zenu.
 
Labda unanawiri mtaani kwenu lakini sio china mkuu. Hahahaha kumbe wewe ni mfia dini badala uweke hoja objectively unaongea kwa chuki. Kwa taarifa yako china inakoelekea haitatambua ukristo wala uislamu. Itafyekelea mbali wote
hahaha kwamba itafyekelea mbali wote au sio mkuu
 
Kanisa au msikiti china lazima kuwe na bendera za serekali maana yake omba lakini juwa na serekali yako inakuona !!!
Wachina asilimia kubwa wana heshimu serekali yao na kuiogopa kutoka moyoni kabisa kuliko sisi tunavyo amini Dini zetu!!
Serekaki yao inawajali wana Nchi kuliko ambayo tuna juwa!
Kuna sehemu niliwahi kufika kama vile uende karikaoo ukute nyumba zote zina karabatiwa nikamuuliza mchina vipi akasema serekali ina wa rekebishia bure ili ziwe za kuvutia na wageni!!!
Ukisikia wachina wakiwambia US Don't under estimate Beijing wana manisha kweli!!
 
Dini iliyoletwa na mzungu/Paulo na hao hao eti wanamuabudu huyo mungu mtu/yesu aliyesulubiwa msalabani, wachina wajanja sana hawataki ujinga,, wameshtukia wameona huu ni upumbavu tu, utamuabudu vipi binadamu mwenzio!! Soon itapotezwa hii dini.
Kule hata huo uislamu hautakiwi
 
Tangu Mao anatangaza China ni huru na Taifa moja Mwaka 1949 ivi, alijitahidi na kujielekeza katika kuzinyasasa dini au kuzitokomeza sababu alihofia Muungano wa Waumini unaweza kutumika against Serikali.
Kwaiyo siyo kitu kipya kwa baadhi ya Majimbo kupiga marufuku Sherehe za Xmass. Na upande wa Waislamu wa Uyghur Jimbo la Xinjiang hawapewi Uhuru wao na wanafuatiliwa sana na PRC.
One watakuja kupambana na serikali yao lakini haijulikani ni karne ipi lakini they will fight for their rights
 
Kanisa au msikiti china lazima kuwe na bendera za serekali maana yake omba lakini juwa na serekali yako inakuona !!!
Wachina asilimia kubwa wana heshimu serekali yao na kuiogopa kutoka moyoni kabisa kuliko sisi tunavyo amini Dini zetu!!
Serekaki yao inawajali wana Nchi kuliko ambayo tuna juwa!
Kuna sehemu niliwahi kufika kama vile uende karikaoo ukute nyumba zote zina karabatiwa nikamuuliza mchina vipi akasema serekali ina wa rekebishia bure ili ziwe za kuvutia na wageni!!!
Ukisikia wachina wakiwambia US Don't under estimate Beijing wana manisha kweli!!

Kwa sasa beijing ama hong kong ni majiji mzee,yaani si masikhara wazungu wamenyanyua mkino.
 
Back
Top Bottom