Its doesn't matter ni nani amesema,La msingi we have to watch our ASS.Hao WAFARANSA Nao ili waonekane wema ndio wanasema ya wenzao? Wao na ile France Afrique bado mpaka leo wanayo, ila nyani haoni....
Afrika tutaijenga wenyewe au tutaibomoa wenyewe !!!
hahahah,Unafikiri Wachina ni malaika sio?,Kwamba wao hawataki kujua makoloni yake yanawaza nini?.Think.hizi ni propaganda za kuichafua china kwa kuichonganisha na africa baada ya kuona china inakuja kwa kasi katika uwekezaji africa
Sawa kabisaa uzuri Viongozi Shitholes wanawatawala wananchi shitholes ukiwemo na wewe.AU kuna nini, genge ya madikiteita na shitholes watupu!
na wewe na baba yako na mama yako na kaka zako na dada zako wote, wote , wote, wote , wote, woteSawa kabisaa uzuri Viongozi Shitholes wanawatawala wananchi shitholes ukiwemo na wewe.
Pamoja na ukoo wako wotena wewe na baba yako na mama yako na kaka zako na dada zako wote, wote , wote, wote , wote, wote
Nini jengo,hata bajeti ya AU 80% ni Ela za msaada.Wa Afrika hata jengo La AU tunapewa La msaada[emoji119] .. Tutegemee mini zaidi..
Nitajie nchi ambayo China amewekeza ikaendelea,hasa ya Africa!?hizi ni propaganda za kuichafua china kwa kuichonganisha na africa baada ya kuona china inakuja kwa kasi katika uwekezaji africa
Wakulaumiwa sio China wala wazunguNitajie nchi ambayo China amewekeza ikaendelea,hasa ya Africa!?
Wizi wa China bora hata wazungu wanakuibia kwa haya lakini sio hawa waliovimba macho.