China yakana kuuza nyama ya binadamu Afrika

Humuhumu duniani..

Ndio maana nkasema kuna habari hazina hadhi ya kujadiliwa humu jf mnatutia aibu
Binadamu ni priceless mkuu huez mfananisha na ng’ombe .kumpoteza binadamu mmoja tuh asijulikane alipo ni kasheshe afu wewe unatuambia habar za ku export nyama kwa africa acha story za vijiweni
 
Ndio maana nkasema kuna habari hazina hadhi ya kujadiliwa humu jf mnatutia aibu
Binadamu ni priceless mkuu huez mfananisha na ng’ombe .kumpoteza binadamu mmoja tuh asijulikane alipo ni kasheshe afu wewe unatuambia habar za ku export nyama kwa africa acha story za vijiweni
Stori za kijiweni zenye uhakika.. wanakula nyama ya binadamu
 
Onja, ukiona tamu sana ujue chumvi inayopatikana kwemye mwili wa binadamu. Mwalimu alitania enzi za uhai wake, "nyama ya binadamu tamu, ukionja huachi".
 
Mkuu hakuna ukweli wowote we piga hesabu tuh ya kawaida unambie hizo maiti zinatoka wapi
south africa watu wasikuwa na ndugu wanawauza kwa wafugaji wa wanyama pori. Na ni wengi tu. Unafikiri maiti sisikuwa na ndugu wachina watawafanyaje? Hapa tz kila wiki maiti kibao zinatupwa na jiji, na tupo wachache kuliko china
 
Kwa taarifa yako, maeneo ya Buguruni hapo Dar, walikuwa wanatengeneza pombe kali karibia zote huku wakiweka seal na label zote muhimu ukiona utadhani zimetoka kiwandani.

Sasa unashangaa nini Mkuu. Hakuna kisichowezekana siku hizi, labda kurudisha tu uhai wa marehemu!
 
Kwa akili yakawaida kiwanda kweli kiweke nyama ya binadamu na kuuza.hii habar ni ya kitoto mnoo
Hawa wachina kuna kiwanda chao kilipata skandali ya kutengeneza maziwa ya watoto kwa kutumia material inaitwa melamin ambayo ni material ya kutengenezea vyombo vya jikoni. Serikali ya china baada ya kujiridhisha kuwa ni kweli ilitoa hukumu ya kuwanyonga maafisa kadhaa wa kiwanda hicho cha china.Utafiti wa MUHAS unaonyesha madawa mengi ya kichina yanaharibu figo maana yana ubora duni na sumu nyingi mnoo. Kwa wachina kutengeneza bidhaa feki ni kama uji na mgonjwa. Ndiyo maana wanaotaka kutengeneza bidhaa feki huenda china.
 
Back
Top Bottom