Jibu swali acha pempele nyingiSwali Lako Linaonyesha Huna Imani Na Uelewa Wangu Kuhusu Haya Mambo Ya Tech Na Diplomasia Ya Kiuchumi Duniani,kwaio Hata Nikikujibu Huwezi Kuniamini Mkuu,kama Ulivyoonyesha Hapo Mapema,
Kwamba We Hujui Huaweni Ina Deal Na ELECTRONIC&TELECOMMUNICATIONS
( IT,SC,ICT) Etc,
Na Hizo Ndio Backbornes Za Operations Za Huawei,
Baada Ya Ban Saizi Wameingia Hadi Kwenye Agritech,yaani Wanashift Kutoka Kutegemea Bznes Zilizo Na Migogoro.
SOFTWARE Yao Tu Ya Harmony OS Ni Imefeli Kuingia Soko La Kimataifa Sasa Ww Endelea Kuwatetea.
Sio kwa China na wala sio safari hii,na wala sio kipindi hiki wote tuna macho tunaona.Ukraine bado kinaumanaUSA Hawajaamua Kutumia Full Force Wakiamua Hivyo Hakuna Wakupinga, Huwa Wanatarget Makampuni Yanayoagiza Mafuta Hadi Mwenye Meli,hawajafikia Huko Safari Hii,
BRICS Na Umoja Wao Wako Wapi?
LAZIMA MKUBALI USA NI KAMA UPEPO YUPO HADI CHUMBANI KWAKO,NA HATA SEHEMU ZAKO ZA **
ANA MKONO MREFU SANA,NI MUNGU TU NDIO ANAWAZIDI KWA MBALI.
wacha kelele weweUSA Hawajaamua Kutumia Full Force Wakiamua Hivyo Hakuna Wakupinga, Huwa Wanatarget Makampuni Yanayoagiza Mafuta Hadi Mwenye Meli,hawajafikia Huko Safari Hii,
BRICS Na Umoja Wao Wako Wapi?
LAZIMA MKUBALI USA NI KAMA UPEPO YUPO HADI CHUMBANI KWAKO,NA HATA SEHEMU ZAKO ZA **
ANA MKONO MREFU SANA,NI MUNGU TU NDIO ANAWAZIDI KWA MBALI.
USA Hachelewi Kuja Na
TARIFFS PRO MAX
Utawasikia Tu China Wakiomba Poo,
USA Wanajivunia Wananchi Wa Usa Kuwa Na Uwezo Mkubwa Wa Kuspend Hela Kuliko Nchi Yoyote Duniani (yaani Ni Watu Wa Anasa),sasa Ukipigwa Tariff Kupeleka Bidhaa USA Inakula Kwako,tofauti Na Wao Ukiwapiga Tariffs Haziwabani,maana Wana Alternatives Nyingi.
USA Hawajaamua Kutumia Full Force Wakiamua Hivyo Hakuna Wakupinga, Huwa Wanatarget Makampuni Yanayoagiza Mafuta Hadi Mwenye Meli,hawajafikia Huko Safari Hii,
BRICS Na Umoja Wao Wako Wapi?
LAZIMA MKUBALI USA NI KAMA UPEPO YUPO HADI CHUMBANI KWAKO,NA HATA SEHEMU ZAKO ZA **
ANA MKONO MREFU SANA,NI MUNGU TU NDIO ANAWAZIDI KWA MBALI.
We uko wapi? Huawei miezi kadhaa tu iliyopita wamezindua laptop ambayo imekuwa hot cake sokon mpaka sasaHUAWEI NA ZTE Wako Wapi?
Unajua Ni Makampuni Mangapi Ya Kichina Yanakufa Kwa Vikwazo Na Bans Za USA?
Kwani alianza Jana au juzi kufanya hizo sanctions!? Mbona India na china Bado Wana endelea kununua hayo mafuta in short USA now days ni Simba wa kuchora hakuna anaye muogopa
Wao wenyewe wanategemea soko la China.Marekani na EU wakiungana kwenye vikwazo dhidi ya China, China hana ujanja. Zaidi ya 70% ya soko la bidhaa za China, katika thamani, lipo USA na Ulaya.
Mengi tu Mkuu, na yanayo kataa yana ambiwa yawauzie USA code za program/software zao - mfano kampuni ua TIK TOK na nyingine ambazo zinaonekana kufanya vizuri kibiashara, Wamerika wana wivu sana na roho mbaya, hawataki ushindani wa biashara, wako radhi hata kukufanyia hujuma, mfano: kulipuliwa kwa bomba la Gesi la Nord 1&2, hivi sasa naona wameanza kuizonga zonga hata BRICS wana wasi wasi kwamba BRICS ikifanikiwa katika harakati/malengo yao basi ufanyani biashara kwa kitumia Dollar hakutakuwa na umuhimu wowote, hicho kitu kinawatisha sana sana USA na Cabals wake.HUAWEI NA ZTE Wako Wapi?
Unajua Ni Makampuni Mangapi Ya Kichina Yanakufa Kwa Vikwazo Na Bans Za USA?
Siyo kweli, China unauza bidhaa zake karibu Dunia nzima hata Merikani inaitegemea China kwa mambo mengi tu, FYI China imekuwa na Taifa la pili Duniani kuwa na Uchumi mkubwa siyo kwa bahati mbaya, Chinese counts a lot katika uchumi Duniani, USA political rhetoric againist China notwithstanding.Marekani na EU wakiungana kwenye vikwazo dhidi ya China, China hana ujanja. Zaidi ya 70% ya soko la bidhaa za China, katika thamani, lipo USA na Ulaya.
Si ndio hapo mkuu, mambo mengine ukiyasikiliza ndio utajua kwamba propaganda za media za magharibi zilifanikiwa ku-brainwash baadhi ya wanadamu Duniani na kwa bahati mbaya wana imani kwamba wanacho ambiwa ni Gospel truth.Wao wenyewe wanategemea soko la China.
Uzuri wa China kwa sasa soko lake kubwa ni Global South Countries
View attachment 3433231
Well said, umesahau titanium mkuu.Hakuna wa kuizuia China kununua mafuta Russia na Iran
Halafu mbona bado Marekani yenyewe inanunua uranium kwa ajili ya nuclear fuel, mbolea, chemicals kutoka Russia?
Na EU bado wananunua gesi kutoka Russia?
Hizi double standard wanazitolea wapi? Mataifa ya Magharibi yana unafiki sana
Umesema vyema mkuuWell said, umesahau titanium mkuu.
Halafu cha ajabu mkuu wala hao Western USA Cabals wala hawana mandate yoyoye ya UNO ya ku-Umesema vyema mkuu
Sijui Westerners wanapata wapi ujasiri wa kuyakataza mataida mengine ilhali wao ni wateja wa Russia!