China yaibadilikia Korea Kaskazini kwa vikwazo vikali

China yaibadilikia Korea Kaskazini kwa vikwazo vikali

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Korea Kaskazini inaitegemea China kwa asilimia 90% ya biashara zake za kimataifa, sasa dirisha la matumaini linafungwa maana Uchina imefanya maamuzi ya kuanza kufunga uhusiano wake na Korea Kaskazini.
---------------------------------------------------------
China has banned the import of several vital products from North Korea in line with the UN sanctions announced earlier this month.

Importing coal, iron ore, lead concentrates and ore, lead and sea food from North Korea will be banned as of Tuesday, China's Commerce Ministry said today.

It is hoped that the UN sanctions against trade with North Korea will force the country's dictator Kim Jong-Un to slow down, if not abandon, his nuclear missile program.

433DB75300000578-4788482-image-a-1_1502701061654.jpg

+2
Sanctioned: It is hoped that the UN sanctions will force North Korean leader Kim Jong-Un, seen inspecting a test-fire of a ballistic missile earlier this year, to slow down his missile program

The United States in particular wants to stop Pyongyang from developing nuclear missiles, while North Korea sees its nuclear arsenal as protection against the U.S. and its partners in Asia.

Concern that North Korea is close to achieving its goal of putting the mainland United States within range of a nuclear weapon has underpinned a spike in tensions in recent months, including between China and the U.S.

China accounts for 90 percent of trade with North Korea but is suspected of failing to enforce past UN measures, even after voting in their favor.

U.S. President Donald Trump has urged China to do more to rein in its neighbour, often linking Beijing's efforts to comments around U.S.-China trade. China strenuously rejects linking the two issues.
 
Mdogo mdogo Kiduku anaingizwa kwenye kona ambayo hachomoki; na akichomoka atachomolewa akiwa maiti. Hawa madogo waliozaliwa, kukulia, na kurithi vyeo vya baba na babu zao tena bila jasho wana matatizo sana hawa. Sasa anaenda kukutana na "wahuni" watamfanyia kitu ambacho atapotezwa mazima.
 
Mimi mpaka sasahivi nashindwa kufahamu ni kitu gani kinampa kiburi huyu Bwana mdogo.

Na je alikosewa nini na marekani mpaka kuleta vitisho vya vita?

Mnaofahamu alichokosewa mnijuze.
 
Hakuna lolote ni longolongo tu kumridhisha bwana mkubwa Usa biashara zinaendelea kama kawaida halafu nyie watu mbona mnakuwa wageni wa huu mgogoro leo ni Miaka 56 tangu niione hii dunia huu mgogoro upo vitisho vikwazo kila aina ya sarakasi ila maisha yanasonga tu
 
Vita ya hawa jamaa huwa haiishi simu moja,unaweza kutaaaaamba ukajisiiiifu wao wanakuwa kimyaa wanakuwa na kwenye 18

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fundi25 usijikaushe hapa..
Hahahahahaha !!!
Wame wauzia maneno ya furaha wa marekani wasema akuna ndege kuruka kwenda north korea au kutoka north Korea kwenda china!!!
Jinsi china ilivyo na jinsi wachina wanavyopenda kula chakula cha baharini hawawezi kataa chakula kutoka north labda kitu kingine!!!
Mazingira ya china + majimbo ya china yalivyo na nguvu + ukubwa +miundombinu mizuri watafanya biashara na north bila taifa lolote kujua !!!
Wachina siyo wa kuamini hata kidogo wana akili nyingi sana!!!
 
Mimi mpaka sasahivi nashindwa kufahamu ni kitu gani kinampa kiburi huyu Bwana mdogo.

Na je alikosewa nini na marekani mpaka kuleta vitisho vya vita?

Mnaofahamu alichokosewa mnijuze.
sio alikosea nini,
tatizo huwa ni yale mazoezi ya kijeshi ya kila mwaka ya wamarekani na marafiki zake,wewe huoni kila mwaka huwa tunakutana humu kujadili korea na marekani?,
ina maana mpaka sasa ulikuwa hujui hizo kelele huwa zinasababishwa na nini?,

kwa ufupi,marekani anataka Regime change pale,hiyo ndo plan,
na wanachofanya north korea ni ku pre empt tu ili wasivamiwe,kwa maana wangelegea kidogo sasa hizi kusingekuwa na kim jong un wala north korea,
kuiambia North korea iachane na nuclear ni sawa na kuiambia israel iharibu nyuklia zake,hawatakubali na wako tayari kufa wote kuliko kuharibu silaha hizo
 
Hahahahahaha !!!
Wame wauzia maneno ya furaha wa marekani wasema akuna ndege kuruka kwenda north korea au kutoka north Korea kwenda china!!!
Jinsi china ilivyo na jinsi wachina wanavyopenda kula chakula cha baharini hawawezi kataa chakula kutoka north labda kitu kingine!!!
Mazingira ya china + majimbo ya china yalivyo na nguvu + ukubwa +miundombinu mizuri watafanya biashara na north bila taifa lolote kujua !!!
Wachina siyo wa kuamini hata kidogo wana akili nyingi sana!!!

Mie nasuburi tamko toka kwa Dogo wenu tu, na hivi sasa ni hawa ndugu zake wa karibu.
 
Safari hii
Hakuna lolote ni longolongo tu kumridhisha bwana mkubwa Usa biashara zinaendelea kama kawaida halafu nyie watu mbona mnakuwa wageni wa huu mgogoro leo ni Miaka 56 tangu niione hii dunia huu mgogoro upo vitisho vikwazo kila aina ya sarakasi ila maisha yanasonga tu
Safari hii wenye dunia yao wemekasirika wanataka kutoa dozi hii tabia ya kipank ikome kabisa au mwenye mawazo kama ya kipank asithubutu
 
Mdogo mdogo Kiduku anaingizwa kwenye kona ambayo hachomoki; na akichomoka atachomolewa akiwa maiti. Hawa madogo waliozaliwa, kukulia, na kurithi vyeo vya baba na babu zao tena bila jasho wana matatizo sana hawa. Sasa anaenda kukutana na "wahuni" watamfanyia kitu ambacho atapotezwa mazima.
Wakimkamata wanampiga Pumbu
 
Wakimkamata wanampiga Pumbu
Na kalivonona sijui ... Kiduku atafanyiwa uhuni sana akiingia kwenye 18 zao. Salama yake ni kujimaza kama kubwa lao Hitler maiti yake haijawahi onekana. Dogo naye huenda ana mapipa ya acid standby chumbani just in case.
 
Mimi mpaka sasahivi nashindwa kufahamu ni kitu gani kinampa kiburi huyu Bwana mdogo.

Na je alikosewa nini na marekani mpaka kuleta vitisho vya vita?

Mnaofahamu alichokosewa mnijuze.

Soma historia!!!
 
Back
Top Bottom