ujamaa ni haki sawa kwa wote,ni furusa sawa kwa wote
due to x-stics za ujamaa duniani hakuna nchi yoyote ambayo ni pure socialist
Navyoelewa ujamaa niwachache kunafaika na keki ya taifa km wanavyofanya ccm.wanarithishana uongozi mpka kwa wajukuu.
na pia haipo ambayo ni pure capitalist,lakin tunaweza kusema hii nchi n ya kicapitalist au kisocialist kwa kuangalia ina features nyingi za upande gani socialism or capitalism
VP MKUU MBONA UMECHEKA? EMBU NIPE LIKE.NIMEPATIA KM NI ALAMA NI A+.ww unafikiri kuna ujamaa dunia hi ya leo?china rusia cuba wote chali.wamebaki n korea na wao hoi bin taaban.huu wa kwetu ujamaa uchwara wa ccm umemaliza rasimali ya taifa na taifa lipo hoi.ona tulivyopigwa bao najirani zetu kenya sbb ya ujamaa uchwara alioshndwa nyerere kwa zaidi ya miaka 20 leo hi kuna mijitu km zzk wanadanganya uma kwa ujamaa uliofeli dunia nzma.
Unajua kama hizi nchi ni wajamaa.VP MKUU MBONA UMECHEKA? EMBU NIPE LIKE.NIMEPATIA KM NI ALAMA NI A+.ww unafikiri kuna ujamaa dunia hi ya leo?china rusia cuba wote chali.wamebaki n korea na wao hoi bin taaban.huu wa kwetu ujamaa uchwara wa ccm umemaliza rasimali ya taifa na taifa lipo hoi.ona tulivyopigwa bao najirani zetu kenya sbb ya ujamaa uchwara alioshndwa nyerere kwa zaidi ya miaka 20 leo hi kuna mijitu km zzk wanadanganya uma kwa ujamaa uliofeli dunia nzma.
Hivi unajua ujamaa ni nini kwa faida ya Wanaukumbi tufahamishe ujamaa nini?
Unajua kama hizi nchi ni wajamaa.
Scandinavian Socialism?
Naona unachanganya Socialism na Communists nani kakwambia ili uwe mjamaa lazima umfuate Karl Max?Ujamaa acording to Kar Max kwa sasa ni kama haupo, make Kar Max, Kumbuka nchi kama Russia ambao ndo walikuwa kioongozi wa Ujamaa Duniani kwa sasa hipo tena, China kwa sasa ni full rushwa na wanachi wananyang'anywa aridhi yao wanapewa wawekezaji wakubwa wa Kichina na wageni. CUBA anaelekea kushindwa
Kwani Karl Max haukuwa mtu?Socialism kama alivyo Define KAR MAX ni kama haipo tena hizo zingine ni Definition za kisanii tu mkuu tunazungumzia real Socialism, acha zilizo buniwa na watu
Mimi tena ananiuliza ujamaa nini?Msaidie mleta mada anaseama China ujamaa umewashinda jamaa mbishi sanaRitz unabishana na vihiyo wasiojua hata wanachokizungumza hebu wajaribu kutuambia ujamaa ni nini kwanza? Vyama vyao vilikuja na Ilani inayosema elimu bure je hawakujua kama hiyo ni sifa mojawapo ya ujamaa ambayo iliwavutia wengi na wakapata kura?
Kajifunzeni mfahamu ujamaa ni nini? xstic za ujamaa ndio mrudi hapa ila angalizo ujamaa unaotangazwa na hao ni ujamaa wa kidemokrasia (social democrats )
Sasa kama ujamaa ni haki sawa kwa wote na fursa sawa kwa wote basi maana yake
Marekani, Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani ni wajamaa maana wanavifuata hivyo vigezo
Korea Kaskazini basi sio wajamaa maana hivyo vigezo huko havipo.
USHAURI:Usilete mada kama huijui mada yenyewe, huu ni mfano kuwa ujamaa unaosema unaupinga huufahamu ni kitu gani
Tapeli mmoja anatumia ujamaa kutapelia
Hivi unajua ujamaa ni nini kwa faida ya Wanaukumbi tufahamishe ujamaa nini?
hata katiba ya ccm ya mwaka 77 imeweka wazi kuwa tanzania ni nchi ya kijamaa je unamini ni kweli tanzania ni nchi ya kijamaa?
Ujamaa kwa kifupi ni wengi wasiofanya kazi kwa ustadi wa hali ya juu kugawana utajiri unaotokana na wachache wanaojituma na kufanya kazi kwa ustandi wa hali ya juu.
Eee Mwenyezi Mungu naomba utuepushie huyu ZITTO KABWELA anayetaka kuturudisha kwenye hizi zama za ujamaa
na pia haipo ambayo ni pure capitalist,lakin tunaweza kusema hii nchi n ya kicapitalist au kisocialist kwa kuangalia ina features nyingi za upande gani socialism or capitalism