China ipambane na hali yake huko east asia philipine, korea, japan zinamkodolea macho akija huku red sea kule kwake atalimwaga so bora atulie.China ya kushirikiana na USA kiulinzi?duh
Kwa iyo yeye mizigo yake atapitishia wapi? Ngoja tumuone. Kama atapitisha mizigo yake wanaidondosha Ile iwe fundisho kwake. China ni masikini Jeuri aishi kutapatapaChina Sio Kibendera Fuata Upepo
Hizi mambo zimekuzidi uelewaChina ipambane na hali yake huko east asia philipine, korea, japan zinamkodolea macho akija huku red sea kule kwake atalimwaga so bora atulie.
Hawajui hiloJana wameshambulia meli mbili za Israel wakaomba msaada kwa meli za China hawasaidie China akakataa.
Jeshi la navy la China (PLA Navy) ni moja ya jeshi bora duniani, pale South China Sea hakuna wa kumbabaisha sio Japan, South Korea wala Philippines.China ipambane na hali yake huko east asia philipine, korea, japan zinamkodolea macho akija huku red sea kule kwake atalimwaga so bora atulie.
China anajua kinachoendelea hamna maslahi yoyote kwake ni Marekani anamlinda Muisrael kufanya ugaidi wako mbaya zaidi hivi vita vinapiganwa baharini siyo nchi kavu utapeleka vifaru.Jeshi la navy la China (PLA Navy) ni moja ya jeshi bora duniani, hapo South China Sea hakuna wa kumbabaisha sio Japan, South Korea wala Philippines.
Kwanza China ana kambi ya kijeshi hapo Djibouti ambapo ni mlango wa kuingia Red Sea
Na hapo wana navy destroyers, Marines, UAVs na MPAs
China haijaamua tu kuingilia huu mgogoro.
Umesahau mbona China walisaidia kulinda meli za mizigo kipindi kile cha Gulf of Aden crisis dhidi ya magaidi ya Kisomalia? Kwa nini sasa hivi hawataki?
Hizi mambo za geopolitical wengi bado uelewa ni mdogo
Wanaukumbi.
The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi militias. China did not join the coalition, named Operation Prosperity Guardian. It includes the EU, NATO, Japan, and the government of Yemen.
The coalition won’t shadow individual ships but will provide broader security in the Red Sea and Gulf of Aden. This follows numerous attacks on vessels owned by shipping and oil companies in one of the world’s busiest shipping lanes. Companies
===============China Doesn’t Join U.S.-Led Red Sea Force
The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi militias. China did not join the coalition, named Operation Prosperity Guardian. It includes the EU, NATO, Japan, and...www.google.com
Marekani ilitangaza kuwa itaratibu doria za pamoja na washirika wake kulinda meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu huku eneo hilo likikumbwa na mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa wanamgambo wa Houthi wa Yemen. China haikujiunga na muungano huo uliopewa jina la Operesheni Prosperity Guardian. Inajumuisha EU, NATO, Japan, na serikali ya Yemen.
Hapa haiongelewi chini mdogo wanguKwa iyo yeye mizigo yake atapitishia wapi? Ngoja tumuone. Kama atapitisha mizigo yake wanaidondosha Ile iwe fundisho kwake. China ni masikini Jeuri aishi kutapatapa
Australia na Spain pia zimekataa kujiunga na marekani.Hata wasipojiunga, Western zimejiunga so magaidi hayawezi tena kuteka meli *****!.
China na Russia meli zao zmeruhusiwa kupita hapo Red sea na zimehakikishiwa usalama na Yemen kwahiyo wao wanaendelea na biashara kama kawaida.Kwa iyo yeye mizigo yake atapitishia wapi? Ngoja tumuone. Kama atapitisha mizigo yake wanaidondosha Ile iwe fundisho kwake. China ni masikini Jeuri aishi kutapatapa