Mbona mkuu umepigia mahesabu kidananda sana!?Idadi ya watu 1.4 bilion na Economy ya 18.5 trilion USA (GDP) kwa China
Na Idadi ya watu 123 Milioni na Economy ya 4trilion (GDP) ya Japan
Utaanzaje kuona China yuko juu ilihali idadi ya watu wake ni mara 12 zaidi ya watu wa Japan?
Kwangu mimi, china bado cha mtoto kwa Japan
Angalia na per capital zao
Wachina kutumia majembe ya mkono haimaanishi hakuna technological advancement.Kwa urahisi wa maisha yako Hapa kuliko China, China bado kuna vijiji wanatumia jembe la mkono, hata wachina wengi wanakimbilia Ulaya.
Sasa per Capital inamaana gani ukifanya hivyo?Per capita Yao ni kubwa kwasababu ya idadi yao ya raia Ni ndogo.
Embu chukulia nao China wangekua na population kama ya Japan halafu igawe GDP Yao Kwa idadi ya watu.
Per capita ya China ingekua Mara 4+ ya Japan.
Per capita maana yake ni kuchukua pato la nchi gawanya kwa idadi ya raia.Sasa per Capital inamaana gani ukifanya hivyo?
Mimi kiutafutaji ningechagua Japan.ECONOMY: China 18.5 trillion USD (GDP)
Japan 4 trillion USD (GDP)
Population: China🇨🇳 1.4 billion
Japan🇯🇵 123 million
Per capita: China: 13000 USD
Japan: 33000 USD
Je wewe ungemchaguwa Nani
China kupata kazi mtu mweusi ni ngumu sana ila wanawaamini watu weusi wa Amerika tu.Ningechagua China, kwasababu ni rahisi kufanya kazi yoyote hata bodaboda na pia ni sehemu ambayo Kwa mtu mvivu kama Mimi ni rahisi kuishi.
Kwa upande wa Japan, nisingeweza maana Kwa takwimu za kiduni Japani ndio Nchi ambayo raia wake wanafanya kazi masaa mengi zaidi mpaka hupelekea stress wengi wao hujiua.
Nchi yenu haieleweli huku eti unachagua ipi inatusaidia nini sasaECONOMY: China 18.5 trillion USD (GDP)
Japan 4 trillion USD (GDP)
Population: China🇨🇳 1.4 billion
Japan🇯🇵 123 million
Per capita: China: 13000 USD
Japan: 33000 USD
Je wewe ungemchaguwa Nani
kipimo sahihi cha uchumi ni PPP na sio GDP, hii GDP inadanganya sana, haitoi uhalisia wa tofauti ya gharama za maisha!Idadi ya watu 1.4 bilion na Economy ya 18.5 trilion USA (GDP) kwa China
Na Idadi ya watu 123 Milioni na Economy ya 4trilion (GDP) ya Japan
Utaanzaje kuona China yuko juu ilihali idadi ya watu wake ni mara 12 zaidi ya watu wa Japan?
Kwangu mimi, china bado cha mtoto kwa Japan
Angalia na per capital zao
Ukipinguza idadi ya watu China basi na uchumi usingekuwa 18.5 trillion tena. Uchumi ungeshuka mara dufu.Per capita Yao ni kubwa kwasababu ya idadi yao ya raia Ni ndogo.
Embu chukulia nao China wangekua na population kama ya Japan halafu igawe GDP Yao Kwa idadi ya watu.
Per capita ya China ingekua Mara 4+ ya Japan.
Watu zaidi ya miln 120 sio watu wachache.Ukipinguza idadi ya watu China basi na uchumi usingekuwa 18.5 trillion tena. Uchumi ungeshuka mara dufu.
Japan ina watu wachache kuliko China na bado uchumi wao ni 4.4 trillion USD. We huogopi?
Japan ni nchi tajiri kuliko China
Linganisha population ya Japan na uchumi wao. Fanya hivyo hivyo kwa ChinaWatu zaidi ya miln 120 sio watu wachache.
Hao watu wanapunguzwa China tu ila Japan hawapunguzwi ?
Obviously Japan!ECONOMY: China 18.5 trillion USD (GDP)
Japan 4 trillion USD (GDP)
Population: China🇨🇳 1.4 billion
Japan🇯🇵 123 million
Per capita: China: 13000 USD
Japan: 33000 USD
Je wewe ungemchaguwa Nani
Nini unachosema ?Linganisha population ya Japan na uchumi wao. Fanya hivyo hivyo kwa China
Utaelewa ninachosema
Japan ni nchi tajiri kuliko ChinaNini unachosema ?
Japan GDP per capita $33,834Japan ni nchi tajiri kuliko China
China ina uchumi mkubwa kuliko Japan ila ukilinganisha na population yao maana yake serikali ina kazi kubwa ya kugawa resources zake kila kona ya China ili kufit population. Kwa upande mwingine Japan hizo trillion 4.4 ni nyingi kuliko population yao.
Mfano kama familia tatu (watu 15) zikiunganisha utajiri wao ukawa milioni 50, halafu kuna familia moja 1 (watu 5) yenyewe ina TSh milioni 30. Obviously hiyo familia 1 ni tajiri kuliko hizo familia tatu kwa sababu licha ya kutofikia familia 3 kwa pesa, hii familia moja ina watu wachache wa kuhudumia kuliko familia 3 zilizoungana. Familia hii moja inaweza kuhakikisha kuwa wote wanakula vizuri kuliko hizo familia 3
Ndio kama China na Japan sasa. Kuna sababu inayofanya uone China kuna restaurant, hotels au malls nyingi za bei rahisi kuliko Japan licha ya China kuwa na uchumi mkubwa zaidi. Hii maana yake ni kwamba bado kuna Wachina wengi ambao wana uwezo mdogo wa ku afford expensive life, ingawa malls za kitajiri zipo China pia, wakati Japan malls nyingi ni expensive na kupata hizo za bei ya chini ni nadra sana kwa sababu per capita income ya Japan ni kubwa.
Kutokana na population kuwa kubwa China, bado wana safari ndefu kufikia maisha ya Japan sasahivi.
Mpaka kufikia sasa kwa data za Human Development Index, kwenye nchi zinazoongoza kwa kuwa na maisha bora duniani Japan ni ya 24 wakati China ni ya 75
Ni kama ukijiuliza kwa nini Luxembourg ndio nchi tajiri zaidi duniani wakati USA ndio ina uchumi mkubwa kuliko nchi zote. Ni kwa sababu per capita income ndio inarahisisha kujua nchi ipi ni tajiri zaidi.
Canada ni nchi tajiri kuliko India. Lakini India ina uchumi mkubwa kuliko Canada. Kwa nini?
Hapo pia ndio inaturudisha kwenye fact. Japan ni nchi tajiri kuliko China. Ila China ina uchumi mkubwa kuliko Japan? Jibu ni ler capita income
Tunalinganisha pato la nchi yako na population ya nchi yako
Usikasirike mkuu, mbona comment yangu haikuwa na povu?Japan GDP per capita $33,834
Macau GDP per capita $78,962
Hong-Kong GDP per capita $50,889
Taiwan GDP per capita $33,234
Unaelewa maana ya nchi tajiri kweli ?