Ni ujumbe tu, na unaweza kuta ilo puto halikua na madhara yoyote, sema kutuma puto lisafiri kutoka china adi America si mchezo na llilikua linaelekea kwa biden.🤣🤣🤣Mimi nasubiria wenye nondo mzito na Wazoefu, ila nijuacho mchina kuna kitu kamwambia amerika hatuko wepesi hivyo.
ONYO MUJARABU HATA KWA SISI MASHABIKI WA TANDALE KWA TUMBONA NANJILININJI HUKO.DUNIA IMEKUWA PANA.Ni ujumbe tu, na unaweza kuta ilo puto halikua na madhara yoyote, sema kutuma puto lisafiri kutoka china adi America si mchezo na llilikua linaelekea kwa biden.🤣🤣🤣
China washasema iyo baloon ilikua kwa ajiri ya masuala ya hali ya hewa sasa iweje unatuuliza tena lengo lao. Haitapata jibu sahihi kila mtu atakuja na ubashiri wake. Kama kuna lengo lingine la siri basi ni china wenyewe ndo wanajua.Siku ya jumamosi tarehe4 jeshi la Marekani lilifanikiwa kuitungua baloon ya upelelezi, surveillance baloon/ spy baloon, kama ilivyoelekezwa na Rais Biden.
Baloon hiyo inayosemekana ni ya jamuhuri ya watu wa China, japo serikali ya China inadai lengo la hiyo baloon ilikuwa kwa ajili ya masuala ya hali ya hewa.
Swali la kujiuliza mchina aliwezaje kufikisha baloon hiyo hadi ndani ya anga la Marekani bila kugundulika na inasemekana ukubwa wake sawa ba basi kubwa 3 za kubebea wanafunzi.
Lengo la China ni nini?
Vipi kama Marekani wasingefanikiwa kuigundua na kuitungua madhara yangekuwa nini?
Na ina semekana zingine zinaonekana Mexico na Colombia.
Karibuni tujadili.
Kwani marekani wao wanasemaje.China washasema iyo baloon ilikua kwa ajiri ya masuala ya hali ya hewa sasa iweje unatuuliza tena lengo lao. Haitapata jibu sahihi kila mtu atakuja na ubashiri wake. Kama kuna lengo lingine la siri basi ni china wenyewe ndo wanajua.
KawaulizeKwani marekani wao wanasemaje.
Siku ya jumamosi tarehe4 jeshi la Marekani lilifanikiwa kuitungua baloon ya upelelezi, surveillance baloon/ spy baloon, kama ilivyoelekezwa na Rais Biden.
Baloon hiyo inayosemekana ni ya jamuhuri ya watu wa China, japo serikali ya China inadai lengo la hiyo baloon ilikuwa kwa ajili ya masuala ya hali ya hewa.
Swali la kujiuliza mchina aliwezaje kufikisha baloon hiyo hadi ndani ya anga la Marekani bila kugundulika na inasemekana ukubwa wake sawa ba basi kubwa 3 za kubebea wanafunzi.
Lengo la China ni nini?
Vipi kama Marekani wasingefanikiwa kuigundua na kuitungua madhara yangekuwa nini?
Na ina semekana zingine zinaonekana Mexico na Colombia.
Karibuni tujadili.
Sawa hatukatai technolojia zimekuwa lakini waafrika au watanzania kwa ujumla wenu hakuna technolojia yoyote mliyofanikiwa kukuza hapa duniani.Mimi nafikiri Maana yake ni kwamba America asijione kwamba yeye ndiye mbabe pekee duniani, lazima America ajue technology zimekuwa/advanced sio kwake tu bali hata kwa nchi zingine kiasi kwamba kama yeye anaweza kuingia Taiwan na kuikaribia China kwa njia ya Bahari kupitia manowari na nyambizi zake basi hata China anaweza kuingia ndani kabisa ya America kupitia angani, hivyo hiyo ni onyo kutoka China kwenda America kwamba asithubutu kutaka kupigana na China kwani China anazo mbinu nyingi za kuipiga America na njia mojawapo ni hiyo ya kitumia puto, kama tujuavyo lile puto lilipita futi 30,000 (international air route) juu ya sehemu zilipowekwa zana za nuclear za America, sasa kama lile puto lingekuwa limebeba makombora ya nuclear ya China na likayadondosha katika usawa ule je America angekuwa na silaha za nuclear anazojivunia nazo dhidi ya Mchina na Mrusi??
Siku ya jumamosi tarehe4 jeshi la Marekani lilifanikiwa kuitungua baloon ya upelelezi, surveillance baloon/ spy baloon, kama ilivyoelekezwa na Rais Biden.
Baloon hiyo inayosemekana ni ya jamuhuri ya watu wa China, japo serikali ya China inadai lengo la hiyo baloon ilikuwa kwa ajili ya masuala ya hali ya hewa.
Swali la kujiuliza mchina aliwezaje kufikisha baloon hiyo hadi ndani ya anga la Marekani bila kugundulika na inasemekana ukubwa wake sawa ba basi kubwa 3 za kubebea wanafunzi.
Lengo la China ni nini?
Vipi kama Marekani wasingefanikiwa kuigundua na kuitungua madhara yangekuwa nini?
Na ina semekana zingine zinaonekana Mexico na Colombia.
Karibuni tujadili.
Sawa hatukatai technolojia zimekuwa lakini waafrika au watanzania kwa ujumla wenu hakuna technolojia yoyote mliyofanikiwa kukuza hapa duniani.
Ila mchina kaikamata
Kwa marekani imekua habari kubwa baada ya kuchukulia uzito, maana ata kutunguliwa kwake ni baada ya amri ya Rais, na limetunguliwa na jeshi, kwahiyo wenzetu wamelichukulia kwa ukubwa naamini ata kabla ya kuchukua maamuzi hayo lazima walichunguza na kugundua si kitu cha kawaidaMkuu
Hili dubwasha Afrika lilipita
Hapo kwetu limepita, limepiga picha za kutosha....
Watu wameuchuna, wanazungumzia America as if kwao halikupita...
Ujinga tu!
Mchina katisha sana.🤣🤣🤣Mimi nafikiri Maana yake ni kwamba America asijione kwamba yeye ndiye mbabe pekee duniani, lazima America ajue technology zimekuwa/advanced sio kwake tu bali hata kwa nchi zingine kiasi kwamba kama yeye anaweza kuingia Taiwan na kuikaribia China kwa njia ya Bahari kupitia manowari na nyambizi zake basi hata China anaweza kuingia ndani kabisa ya America kupitia angani, hivyo hiyo ni onyo kutoka China kwenda America kwamba asithubutu kutaka kupigana na China kwani China anazo mbinu nyingi za kuipiga America na njia mojawapo ni hiyo ya kitumia puto, kama tujuavyo lile puto lilipita futi 30,000 (international air route) juu ya sehemu zilipowekwa zana za nuclear za America, sasa kama lile puto lingekuwa limebeba makombora ya nuclear ya China na likayadondosha katika usawa ule je America angekuwa na silaha za nuclear anazojivunia nazo dhidi ya Mchina na Mrusi??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utakua na mimba wewe si bure.
Wewe ndo una mimba kama sio unapumuliwa kisogoni.. Sasa baloon la wachina na wao wenyewe wamesema ni kwa ajiri ya masuala ya hali ya hewa halafu unakuja kuwauliza wabongo lengo la ilo baloon ni nini.. wenye baloon lao washasema ni kwa masuala ya hali ya hewa sasa kama wamedanganya kuna jambo wanalificha maana yake ni wao ndio wanajua hivi kwa akili zako unatarajia mbongo atakua anajua masuala ya siri ya chinaUtakua na mimba wewe si bure.
Hii thread ingekua haina mashiko mods wasingeipitisha ijadiliwe, hadi wameipitisha ujue inaamashiko, wenye akili wanajadili, wewe endelea kutafuna embe mbichi.Wewe ndo una mimba kama sio unapumuliwa kisogoni.. Sasa baloon la wachina na wao wenyewe wamesema ni kwa ajiri ya masuala ya hali ya hewa halafu unakuja kuwauliza wabongo lengo la ilo baloon ni nini.. wenye baloon lao washasema ni kwa masuala ya hali ya hewa sasa kama wamedanganya kuna jambo wanalificha maana yake ni wao ndio wanajua hivi kwa akili zako unatarajia mbongo atakua anajua masuala ya siri ya china
lakini mpaka tuache uchawi tunikite kwenye technologyHapa mkuu umenipiga za uso. Lakini naamini ipo zama ambapo nasi Waafrika na watu wengine tuliokuwa nyuma tutakuwa mbele, kanuni na ushahidi wa kihistoria unasema; kutesa kwa zamu, Mungu hajawaacha jamii fulani ibaki nyuma siku zote.