China sasa wafungaji wanasakwa kama ....

Ubavu

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
2,789
Reaction score
3,279
Hali imekuwa mbaya kwa sasa huko china kwani kinachotokea huko sio ubinaadam kabisa. Embu angalia wanachofanyiwa waislamu
 

Attachments

  • 1434975912452.jpg
    15.3 KB · Views: 588
hali imekuwa mbaya kwa sasa huko china kwani kinachotokea huko sio ubinaadam kabisa. Embu angalia wanachofanyiwa waislamu
hebu tupe source ya taarifa yako cum picha.
Usisambaze chuki.
 
huyo ni punda mbeba madawa ya kulevya. acha chuki za udini.
 
acha uchochezi we jamaaa.mtu mzima akili nusu
 
Hapo hata akinyweshwa chupa ngapi kama kweli naye hakukusudia kunywa basi hapo anaendelea na funga yake kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…