Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Duh!hawa jamaa wanatisha!
Wamarekani wezi tu.
china ukichukua rushwa au ukijiingiza kwenye ufisadi una nyongwa bila kujali we ni waziri,au rais,ata korea pia,hivo wanastahili kuendelea mungu endelea kuibariki china
Hapo kwenye red sijafahamu effectiveness yake ikoje kwa maana niko na wachina hapa wananiambia kuwa ndugu wa karibu wa viongozi walioko madarakani wana mali zisizojulikana wamezipata wapi maana si wafanyabishara wakubwa. Which means ufisadi upo japo si sana.
inaelekea ufisadi China upo, ila uzalendo upo sana na umezidi ufisadi, wanaokula hawali kila kitu wanadokoa dokoa tu ndio maana hata maendeleo yapo tena mengi, sasa sisi mafisadi wetu wanakula hadi makombo mpaka maziwa ya watoto pia wanakomba.