si dhani wamalize ku code tuingie mzingo tuone. aah
Wakati udukuzi wa mitandao wanapoendesha udukuzi zaidi, China inatarajiwa kuzindua mtandao usiodukuliwa ikimaanisha kuwa itakuwa rahis kugundua kabla ya wadukuzi kuingia.
Mradi huo wa kichina katika mji wa Jinan na unautumia teknolji inayofahamika kama Quantum, unajawa kuwa hatua kubwa na vyombo vya habari vya nchi nhiyo.
Mradi huo pia ni ishara tosha kuwa China inachukua wajibu mkuwa katika masuala ya teknolojia ambayo kwa miaka mingi yametawaliwa na nchi za magharibi.
Kupitia mtandao huo wa Jinan, watumiaji 200 kutoka jeshi, serikali, sekta ya fedha na kawi wataweza kutuma ujumbe kwa njia salama.
Hatua hii inamaana kuwa China inachukua hatua kubwa kuhakikisha kuwa mitandao imekuwa salama. Sasa hunda nchi zingine zikanunua teknolojia hii kutoka China.
Chanzo: BBC swahili
akili ndogo ndio huona hili tu,,,, kila kitu lisuSERIKALI YA TZ IMEWEKEZA KUMSHITAKI KISSU KILA UCHAO NA WATAZINDUA KIWANDA KIITWACHO "Lissu Products" tz ya V-Wonder
Confucius aliwatefanya wachina wawe progressive aliposema Giants are creatorsHapo trump pov lnamtoka
Co kitoto
[Color= yellow]Triple A[/color]
Huu ni upotoshaji au sensationalism. Hakuna kitu kinachoitwa 'mtandao usioweza kudukuliwa'. Msingi wa udukuzi ni kutumia makosa yanayofanywa na watengenezaji wa mifumo. Kama unatengeneza mfumo 'usio weza kudukuliwa' ina maana utakuwa very complex, ukiwa complex, loopholes zinaongezeka.
Kwa kifupi, udukuzi ni kutafuta njia pasipo na njia.