China kuuchukua uwanja wa ndege wa Zambia baada ya kuchelewa lkulipa madeni

Uwanja watauhamishia China?
We've got to be very careful with what we read to understand the larger implications of these campaigns.
Pasipokuwepo na miundo mbinu, barabara, reli, bandari, n.k., kelele ni zaidi ya hizo. Tunaambiwa Afrika hatuwezi kuendelea sababu ya kukosa miundombinu.
Haya, tunajikamua iwezekanavyo, hata kwa kukopa ili tujenge hizo miundo mbinu. Wao na mashirika yao hawataki kutukopesha, kwamba hatukopesheki. Wakikopesha kiduchu, kelele dunia nzima inasikia na masharti hata ya kuingiliwa chumbani kabisa, mbali ya kulazimishwa tukubali tamaduni zao.
Mchina akijenga reli na kuiendesha kama alivyofanya na reli ya Kenya , Mombasa/Nairobi - ; mara hao wanakuja mbio kutafuta kuvuruga (sabotage) kwa kulazimisha kujenga expressway ya njia sita Mombasa/Nairobi, ili hiyo reli mpya ife! Hii kweli ndio akili nzuri?
Wakati umefika, tujitambue. Kama hatutaki ya Mchina tuseme waziwazi kwa sababu zetu wenyewe, sio sababu za kupangiwa.
 
Bado watakuja na bongo kuuchukua wa kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…