China inaua Waislamu na dunia ipo kimya

ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
7,523
Points
2,000
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
7,523 2,000
Kumbe unajua maisha yalivyo na ndiyo maana nikasema huyo mwenyewe lakini kalala jela ila masikini sijawahi kulala huko,sasa wewe uliposema ukiwa na hela sijui hakuna wa kukusumbua ulisahau kuwa maisha hayana guarantee?
ni wapi nimetumia hiyo kauli ya kwamba ni guarantee kuwa ukiwa & pesa hakuna wa kukusumbua??
 
M

mozila firefox

Member
Joined
Dec 9, 2018
Messages
5
Points
45
M

mozila firefox

Member
Joined Dec 9, 2018
5 45
China hawapendagi ujinga kwenye mambo ya utaifa!
Fuatilia hata wakristo kuna nyakati husumbuliwa wanapotanguliza dini mbele badala ya utaifa.

Kuna majasusi wa nchi maadui hujificha kwenye hizi dini, kuna magaidi hujificha kwenye hizi dini, kuna wauza madawa ya kulevya hufanya hivyo pia.

Serikali ya China inafanya kuziba ufa kuliko kuja kujenga ukuta mzima
Hizi dini zimekuwa chanzo cha machafuko, ubaguzi, ugaidi na uhalifu mwingine mwingi maeneo mengi ya dunia.

Mfano mzuri hapo Zanzibar tu wenye baa, wenye migahawa nk wanasumbuliwa na biashara zao kisa tu kina watu wa dini fulani wapo kwenye mfungo eti!
Kwani huwezi kufunga wewe kama wewe bila kuwabughudhi wengine? Ndivyo hivyo Mungu wenu anataka kila mtu afunge kwa lazima?

Enyi watu wa dini jaribuni kuwa wastaarabu ili muende sambamba na dunia inavyotaka.

Ninyi mkiwa katikati yetu, sisi tusiokuwa na dini huwa hatuwasumbui kama mkifata sheria za nchi.
Bahati mbaya nyie mnataka sheria zenu za kipumbavu zuwekwe hadi kwenye katiba ya nchi jambo ambalo tutalipinga kwa nguvu zote!

Heshimuni sheria za nchi, kaa ndani kwako fanya ibada yako na ikitokea mkikusanyika, basi nfundishane mazuri na ya kujenga sio kubomoa. Tena mkikusanyika muwe wastaarabu sio makelele masaa kwa masaa.
Daah nimecheka hahahahhh wew jamaa umepinda sana
 
pilato93

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
3,995
Points
2,000
pilato93

pilato93

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
3,995 2,000
The world shrugs as China locks up 1 million Muslims

China has detained an estimated 1 million to 2 million Uighur Muslims in the region of Xinjiang, and millions more live one step away from detention under the watchful eye of the Chinese Communist Party.

Why it matters: It has been two years since the internment camps first came to light internationally, and a series of reports from Xinjiang have made vivid the scale of the abuses. Yet foreign governments and corporations are content to pretend it isn't happening.

"If right now, just about any other country in the world was found to be detaining over 1 million Muslims of a certain ethnicity, you can bet we’d be seeing an international outcry," says Sophie Richardson, china director for Human Rights Watch.

"Because it's China, which has enormous power in international institutions these days, it's hard to muster any response at all."
"There has been this almost childlike hope that as China gets wealthier and more secure it would change" and adapt to international norms, Richardson says. Instead, China is using its economic clout and influence at the UN to undermine those norms.
China has long waged a campaign of "assimilation and cultural destruction" in Xinjiang, but under President Xi Jinping it has "dramatically escalated," says Omer Kanat, a prominent Uighur activist. "The camps are designed to eradicate the Uighur's religious and ethnic identity once and for all."

China used to deny the camps existed; it now claims they're voluntary and designed to root out extremism.
But a new Human Rights Watch report reveals Chinese authorities use an app to track nearly every aspect of Uighurs' lives and deem activities that have nothing to do with terrorism — keeping to oneself, using too much electricity, donating to a mosque — suspicious.

"These dubious criteria are being used to identify large numbers of people, many of whom are then arbitrarily locked up," Richardson tells Axios.
Even those who aren't locked up live under constant surveillance, as a recent NY Times interactive demonstrates.
What they're saying:

Prime Minister Imran Khan of Pakistan, which borders Xinjiang but has a deep economic reliance on China, told the FT in March: "Frankly, I don't know much about" what’s happening to the Uighurs.
Indonesian President Joko Widodo gave a similar answer, despite leading the world's largest majority-Muslim country.
UN Secretary-General Antonio Guterres appeared to tiptoe around the issue on a visit to China last week.
Meanwhile the CEO of Volkswagen, which has a factory in Xinjiang, claimed last month that he was "not aware" of the mass detentions.
The Organization of Islamic Cooperation went so far as to praise China in March for "providing care to its Muslim citizens," while in February Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman defended China's "right" to crack down on its Muslim citizens "for its national security."
The U.S. and EU have spoken out, as has Turkey, but as a Council on Foreign Relations report points out, "no country has taken action beyond issuing critical statements."
Between the lines: "This is a difficult issue to address precisely because China has the world's second-largest economy" and is "ruthless" when challenged, says John Herbst, a former longtime diplomat now at the Atlantic Council. "Countries are not going to make this a critical issue in their relations with China."

What to watch: "What's happening in Xinjiang now didn’t happen overnight," Richardson says. "If analysts like us didn't see this coming — and I freely admit we didn't — I wonder what we're missing that’s coming next."
The kind and alike is not part of their tradition if china saw there ppssibility of danger alert brought by new culture is better to ban
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,646
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,646 2,000
Dini zote fungia, ni uongo wa mchana, wakibisha kufungiwa, njia zozotw zitumike dhidi yao
Kila mtu ana uhuru wa kuabudu na wao kama wameamua hivyo let it be hatupo hapa kuamua ila mawazo tu
 
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
4,030
Points
2,000
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
4,030 2,000
Kila mtu ana uhuru wa kuabudu na wao kama wameamua hivyo let it be hatupo hapa kuamua ila mawazo tu
Mambo ya uhuru wa kuabudu ni upuuzi, maana kuna watu hawaheshimu huo uhuru wa kuabudu nchini kwao, halafu wao ndio wa kwanza kupiga kelele kuudai wakiwa nchi za wengine, dawa iliyopo ni kutoruhusu kuabudu kabisa...China wanafanya jambo la maana sana
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,646
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,646 2,000
Mambo ya uhuru wa kuabudu ni upuuzi, maana kuna watu hawaheshimu huo uhuru wa kuabudu nchini kwao, halafu wao ndio wa kwanza kupiga kelele kuudai wakiwa nchi za wengine, dawa iliyopo ni kutoruhusu kuabudu kabisa...China wanafanya jambo la maana sana
Hao waliopo China ni wachina wazawa na kupiga marufuku dini haujaanza leo huko China tangu enzi za Mao Zedong
Nimeona wachina waislam na wakristo na Buddha
Miaka ya zamani walichoma vitabu vya dini zote ili walete maendeleo na hizo zilikuwa fikra za kijamaa, huu ni muendelezo tu wa kutokuwa na dini
Sipingani na hoja yako ila nakumbuka sana miaka hiyo
 
S

said Nundu JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
378
Points
500
S

said Nundu JR

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
378 500
Hao waliopo China ni wachina wazawa na kupiga marufuku dini haujaanza leo huko China tangu enzi za Mao Zedong
Nimeona wachina waislam na wakristo na Buddha
Miaka ya zamani walichoma vitabu vya dini zote ili walete maendeleo na hizo zilikuwa fikra za kijamaa, huu ni muendelezo tu wa kutokuwa na dini
Sipingani na hoja yako ila nakumbuka sana miaka hiyo
Ujamaa ni Dini pia
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,337
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,337 2,000
Ndio maana watu wa dini huonekana wapumbavu,yani huko china hawataki wakristo wala waislamu na hubomoa nyumba zao za ibada ila ajabu wakristo na waislamu wenyewe ndio kwanza wanasemana wenyewe kwa wenyewe kutokana na hilo tukio. Yani wanasahau kuwa wote wawili hawatakiwi huko.
Hahaha
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,337
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,337 2,000
Wanakomaa na Marekani na Israel,huku wanaacha waislamu 1milion wako locked up,hawaruhusiwi hata kusoma quran.Wanafundishwa imani za ki kommunist tu..Kuna mtaa wamejaa majasusi tupu,ukionekana muislamu hata unaongea na simu tu,you are in big trouble.Nyie endeleeni kupambana na marekani na Israel huku mkiacha wenzenu wanateketea.Na hiyo ndo China wanapenda sababu hamtapata muda kuwafuatilia.
Hiyo safi sana hahaa
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,337
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,337 2,000
Case ya madawa ipo wazi, china wanakunyonga.

Hayo makanisa yaliyochomwa ni ya wachina wenyewe kwenye nchi yao.
Sembuse we mwislami wa Mali au Bahrain.
Kubabeki watakunyonga.
Hahaa
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,337
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,337 2,000
Pambana kwanza na dhuruma iliyopo nchini kwako.. Watu wanatekwa, wanauawa lakn upo kimya.

Kwako wewe muislam wa iran n mzuri zaid kuliko mkristo jiran yko anae jumuika na wewe kwenye matatzo ya kila siku.

Hayo ya china waachie wenyewe, watayamaliza.
Umesema vyema sana "
 
othuman dan fodio

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Messages
1,030
Points
2,000
othuman dan fodio

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2018
1,030 2,000
ukishakua na pesa dunia hii hakuna wa kukubabaisha kamwe!
Rugemalila na singasinga walikuwa na hela mpaka nyingine wakawa wanazitoa sadakalawe lkn Leo hii wanachakaa kwenye shimo la tewa dadeki, pisa sio kila kitu ukileta fujo na hela yako watu wanakuchakaza.
 
Mugare

Mugare

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Messages
568
Points
1,000
Age
32
Mugare

Mugare

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2016
568 1,000
Unaposema sheria za kipumbavu tayari umeonesha kiwango cha chuki ndani yako dhidi ya unaowaongelea na umeonesha ukomo wa busara zako

Epuke kujifanya neutral afu mwishoni unajisahau unaonesha upande ulipo

Pia niambie dini ambayo wakikusanyika hawapigi kelele
China hawapendagi ujinga kwenye mambo ya utaifa!
Fuatilia hata wakristo kuna nyakati husumbuliwa wanapotanguliza dini mbele badala ya utaifa.

Kuna majasusi wa nchi maadui hujificha kwenye hizi dini, kuna magaidi hujificha kwenye hizi dini, kuna wauza madawa ya kulevya hufanya hivyo pia.

Serikali ya China inafanya kuziba ufa kuliko kuja kujenga ukuta mzima
Hizi dini zimekuwa chanzo cha machafuko, ubaguzi, ugaidi na uhalifu mwingine mwingi maeneo mengi ya dunia.

Mfano mzuri hapo Zanzibar tu wenye baa, wenye migahawa nk wanasumbuliwa na biashara zao kisa tu kina watu wa dini fulani wapo kwenye mfungo eti!
Kwani huwezi kufunga wewe kama wewe bila kuwabughudhi wengine? Ndivyo hivyo Mungu wenu anataka kila mtu afunge kwa lazima?

Enyi watu wa dini jaribuni kuwa wastaarabu ili muende sambamba na dunia inavyotaka.

Ninyi mkiwa katikati yetu, sisi tusiokuwa na dini huwa hatuwasumbui kama mkifata sheria za nchi.
Bahati mbaya nyie mnataka sheria zenu za kipumbavu zuwekwe hadi kwenye katiba ya nchi jambo ambalo tutalipinga kwa nguvu zote!

Heshimuni sheria za nchi, kaa ndani kwako fanya ibada yako na ikitokea mkikusanyika, basi nfundishane mazuri na ya kujenga sio kubomoa. Tena mkikusanyika muwe wastaarabu sio makelele masaa kwa masaa.
 
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
6,498
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
6,498 2,000
Manji ni tajiri wa 10 kwa utajiri nchini .... so alicho pungukiwa ni nini hapo !?
Hoja haikuwa kupungukiwa hata mie masikini ningeenda jela pia nisingepungukiwa na kitu pia.
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,337
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,337 2,000
Ungezidi kupungiwa ...haswaa network ndogo ambayo unayo hivi sasa ....
Hoja haikuwa kupungukiwa hata mie masikini ningeenda jela pia nisingepungukiwa na kitu pia.
 
Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,842
Top